Recent content by Kanyawela

  1. Kanyawela

    JamiiForums Tanzania Maafisa usafirishaji wa mtandao, maarufu kama bodaboda za mtandao, wamefunga barabara katika eneo la Chuo cha Biashara (CBE) Posta, Jijini Dar es sala

    Shida ya nchi hii ni kutokuwa na utamaduni wa kufuata Sheria. Hao maafisa usafirisha mitandao wanapokamatwa kwa wrong parking wanakuwa wamepark sehemu zilizoruhisiwa? Mara nyingi ni hapana. Hapo wanakuwa wametenda kosa. Lakini pia swali lingine ninalojiuliza jiji limetenga parking kwa ajili yao...
  2. Kanyawela

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Umuhimu wa maridhiano “ya kweli” ni huu hapa

    Njia nzuri ni hiyo kubali kukosea, omba msamaa anza upya! Lakini sasa huu kwetu ni utamaduni mpya.
  3. Kanyawela

    JamiiForums Tanzania Watanganyika tuwe Makini: Kauli ya Nchimbi inayotututaka Wananchi kupigania katiba mpya inafikirisha sana

    Yote yanawezekana. Ila jambo moja kubwa hapa ni kwamba Tanzania ya leo si ya jana Wala juzi.
  4. Kanyawela

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Sweden, Ireland pamoja na EU wakemea shambulio la Kitima

    Yeyote aliyefanya shambulizi kwa padre haitakii mwema nchi.
  5. Kanyawela

    JamiiForums Tanzania Wajua Wakristo na Waislamu Watoto wa Baba Mmoja Ibarahim?Mungu Wao ni Mmoja?na Sheria yao n Moja ya Mussa?Amri Kuu ni Upendo!Uchaguzi Huu Tupendane!

    Shida kubwa hapa ni kutoaminiana na papara. Kama watu wakitulia wakaacha papara na wakawa na nia na upendo wa kweli, uchaguzi huu utakuwa wa amani na hicho ndi ho tunachotaka. Naamini nafasi Bado ipo ya kurekebisha mambo.
  6. Kanyawela

    JamiiForums Tanzania Nchi maskini na kulialia

    Sasa hivi nchi nyingi maskini hasa za kiafrika ziko katika kulia na kulalamikia hatua ya Marekani kuondoa ruzuku na misaada mbalimbali inayogharamiwa na tax payers wa Marekani. Ninajiuliza hivi kwa nini tunakaa kulialia badala ya kutafuta njia ya kuweza kujiendesha na kujisaidia bila kutegemea...
  7. Kanyawela

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Ni kweli Lissu anataka kumng'oa mwenyekiti wa BAWACHA Taifa?

    Kwa demokrasia ya kiafrika kama kwenye kampeni na harakati ulikuwa katika upande ulioshindwa, ni ngumu kuendana na upande uliokuwa unaupinga ingawa ulishinda. Busara ndogo tu ni kuamua kujitoa. Pia busara kubwa zaidi ni kuzika tofauti za kampeni baada ya uchaguzi ili mambo yaende sawa
  8. Kanyawela

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tito Magoti: Freeman Mbowe amekodi kampuni binafsi ya ulinzi kulinda uchaguzi wa CHADEMA

    Bahati mbaya sana kwa watu waliokuwa na matumaini na kuiamini CDM. Hapo nyuma watu waliikubali na ilileta matumaini kwa watanzania wapenda mageuzi. Lakini leo hii uchaguzi wa sasa umeiacha CDM katika sintofahamu. Wanachama na wapenzi wa chama hiki wamebaki kwenye dilema wakiangalia jahazi...
  9. Kanyawela

    JamiiForums Tanzania Tuhuma alizozitoa Wenje na majibu aliyoyatoa K/Mkuu John Mnyika, kwa nini Wenje bado ni mwanachama wa CHADEMA?

    Imekuwa ni nafasi nzuri ya kuwafahamu wanasiasa uchwara wanaoropoka bila kujua wayasemayo. Najiuliza Wenje at his rank anawezaje kuzungumza akiwa hana concrete evidence? What if FAM akibwaga manyanga na kumsuport Lisu Wenje atakuwa upande upi? Amejikaanga kwa mafuta yake mwenyewe!
  10. Kanyawela

    JamiiForums Tanzania Tulishauri, tukatoa tahadhari na tukaonya lakini kama walivosema wahenga, sikio la kufa halisikii dawa!

    Nadhani siku zilizobaki kabla ya uchaguzi zinatosha kubadili mambo ndani ya Chadema. Busara ikitumika na FAM akakubali yaishe akajitoa na kumuunga mkono Lissu siyo tu kwamba itaondoa mgogoro bali itaifanya Chadema kuwa imara kuliko siku zote, FAM atakuwa shujaa wa demokrasia na ataenziwa daima
  11. Kanyawela

    JamiiForums Tanzania Sababu gani zitakufanya usipige Kura zoezi la Uchaguzi litakapofika?

    Kwa kweli kwa mfumo uliopo ni ngumu kwa watu wengi kuwa muitikio mzuri wa kupiga kura. Uchaguzi unashindikana kuwa wa haki kwa sababu hakuna neutrality kuanzia kwenye campaigns, uandikishaji wa wapiga kura, usimamizi, kuhesabu na pia utangazaji wa matokeo. Kwa mfumo huu ulivyo there is no way...
  12. Kanyawela

    JamiiForums Tanzania Tamu au chungu kesi ya Halima Mdee na wenzake kujulikana kesho Desemba 14

    Kesi imechukua muda mrefu sana kiasi kwangu imepoteza maana. Wakishinda au wakishindwa italeta kitu chochote tofauti than expected? Ni kupoteza muda.
  13. Kanyawela

    JamiiForums Tanzania Kinana azuru Kaburi la Hayati Magufuli wilayani Chato

    Mungu aliumba wazungu, Wahindi, Wachina and the likes, akaumba pia watu weusi mwisho akaumba watanzania! Hawa wa mwisho ni watu wasioeleweka kirahisi
  14. Kanyawela

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanaotajwa Urais 2025 na 2030. Twende na yupi?

    Kati ya hao hakuna hata mmoja anafaa kuwa rais wa JMT!
  15. Kanyawela

    JamiiForums Tanzania Tujadili Wabunge wanaoshindwa kutimiza ahadi zao majimboni

    Shida yetu watanzania tunapienda kwenye chaguzi za wabunge tunatanguliza vyama kwanza. Unajikuta kama una support chama fulani basi utampigia kura mgombea wa chama chako bila kujali uwezo wake na kupelekea kuwa na wabunge wasio na uwezo wa kuchambua na kujenga hoja!
Back
Top Bottom