Recent content by Kanuniya68

  1. K

    JamiiForums Tanzania CUF waibua Mgogoro mpya, Shaibu Mketto kuzungumza kesho

    unapotunga hadithi kumbuka kuandika majina halisi ya watu . CUF hakuna MTU anaitwa shaibu mketo! ila yupo anaeitwa SHAWEJ MKETO.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola: Ni Kweli Fedha za Escrow sio Fedha za Umma?

    Aliyanena hayo katika kikao cha bunge kilichoazimia CAG na TAKUKURU kuchunguza na si kamati teule ya bunge. Sasa huu ni wakati wa mbunge huyu machachari na mwenye kelele kuumbuka?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hatari bunge la katiba!

    kuna dalili ya mwanamama wa CCM kutoka zenji..kuukwaa umakamumwenyekiti...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hatari bunge la katiba!

    Kwa mujibu wa makubaliano yaliyo fikiwa wakati wa kupitisha kanuni juu ya nafasi ya mwenyekiti na makamu mkiti ni kwamba 'vigezo' vikuu ni pande mbili za muungano na jinsia! Mimi ninadhani walipaswa kuongeza kigezo kingine,nacho ni 'kundi moja lisijaze nafasi zote pekee'. Kwa mfano, kama...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kikao Dodoma Hotel

    hujamuelewa mzee pandu! Alikua anataka watu wacheke tu....
  6. K

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi: Hii ndio Dira ya Mh. Samuel J. Sitta Kama mwenyekiti Bunge la Katiba

    s.6 alipokuwa spika wa bunge l a jamuhuri,aliitia kapuni hoja binafsi ya mh.slaa kuhusu ishu ya EPA akidai imejaa ushahidi wa kudownload kwenye internate!..dr. Akaamua kuwithdraw hoja,chama kikampa suport ya kuzunguka nchi nzima kushtaki kwa wananchi. Tahadhari, 6 anataka urais mwakani..hivyo...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha Mshahara wa Askari Magereza

    'taaruma' ndio nini?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Dr Nchimbi Hoi!!!

    Life tu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nini hasa siri ya kuachwa kwa ole medeye.?

    kama hivyo ndivyo.,nani amemreplace Kagasheki kutoka kagera? Nani mbadala wa matayo david kutoka upareni?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nini hasa siri ya kuachwa kwa ole medeye.?

    Mabadiliko ya baraza la mawaziri yameleta sura mpya lakini pia yamewaondoa baadhi ya waliokuwepo. Mmoja kati ya walioondolewa bila kutarajiwa ni mh.ole medeye aliyekuwa naibu waziri wa wizara ya ardhi ,nyumba na maendeleo ya makazi. Je ni nini kilichomfanya naibu waziri huyu kuachwa. Je ni zile...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Balozi aibiwa simu Ikulu kwenye dhifa ya kitaifa ya sherehe za Mapinduzi

    "Kuna chama kinatumia alama ya vidole viwili..stail ambayo vibaka huitumia sana kuzama kwenye mifuko ya watu..lazma kimehusika" maneno haya yangetamkwa na kamanda kover kama ishu ingetokea dar
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Temeke adai alitekwa na mwanaCHADEMA mwenzake, CHADEMA yataka Polisi ichunguze

    Mwigulu nchemba Inc..inakuletea muvi mpya kabisa inayoitwa songombingo za PATRICK YONA.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Mzee Abood Jumbe,J.K Nyerere (baba wa taifa) hakutenda haki!

    baadae kidogo,baada ya hii mechi ya man u v totenham,.ntayapitia maelezo yako pia
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Mzee Abood Jumbe,J.K Nyerere (baba wa taifa) hakutenda haki!

    Nashukuru kwa michango kuendelea vema. Lakini naomba nikumbushe jambo moja,ambalo nadhani linaweza kuboresha michango yetu katika hili. Hayati baba wa taifa hakuwa 'mungu' ,alikua ni binadamu kama walivyobinadamu wengine..hivyo basi 'si kila alitolitenda au kulisimamia' lilikua ni sahihi kwa...
  15. K

Back
Top Bottom