Recent content by Kantundu

  1. Kantundu

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika waalimu wa masomo ya Math na Economics

    Nipo hapa upande wa economics
  2. Kantundu

    JamiiForums Tanzania Nipo Morogoro, natafuta connection ya sehemu ya kujitolea

    Jamani habari, Nipo morogoro naombeni connection ya sehemu ya kujitolea. (Volunteerism au internship) Ila pia hata kazi yoyote ya Stationary au saloon. ( Najua mambo ya graphics design na computer, ila sio expert) Nina degree ya International Relations and Diplomacy. Asanteni. What'sapp...
  3. Kantundu

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kuna fursa gani za manual labour?

    Mkuu nipo Zanzibar naomba kama utakua unajua namna ya kupata connection ya kuanza kuwafundisha maana ninao huo UJUZI Mkuu. Lakini si mwenyeji hapa Mjini nipo chuo fulani hapa Unguja. Imani yangu nitasaidiwa[emoji120]
  4. Kantundu

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu wa Internship ya World Vision

    Jamani kwa hiyo world vision wao Wana base na dhehebu gani la kikristo?. Naomba kwa yeyote anaye fahamu.
  5. Kantundu

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kuna fursa gani za manual labour?

    [emoji106]
Back
Top Bottom