Recent content by Kantomku

  1. K

    JamiiForums Tanzania Twendeni kwenye page za FIFA na CAF tukaishataki Tanzania kuingiza siasa kwenye mpira ifungiwe Ili taifa likombolewe

    Wewe unaye jielewa tuambie hayo maamuzi ambayo serikali imefanya na kutafsiriwa kuwa inaingilia mpira ni yapi?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Twendeni kwenye page za FIFA na CAF tukaishataki Tanzania kuingiza siasa kwenye mpira ifungiwe Ili taifa likombolewe

    Wakati mwingine tuanahitaji kuwa honest, TFF na Bodi ya ligi wangeendelea na ratiba ya mechi ya tarehe 8 Machi na Simba wakagoma kucheza wangekatwa point 15+3. Unafikiri mchafuko wa kimpira ungekuwaje hapa nchini? Yanga walipo sema hawatacheza mechi ya 15 June na zote zilizobaki iwapo matakwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: CCM inawachama milioni 13 yoyote anayefikiria kukipasua chama hiki ajifikirie mara mbili mbili

    Milioni 13 toa 1 ni ngapi? Maana hata mimi nina kadi ya CCM lakini kwenye hiyo hesabu anitoe.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CAF wasimiliki timu zinazoshiriki mashindano wanayosimamia

    Mkuu Nankanga mjini kabisa mbona, niliwahi fika zamani
  5. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CAF wasimiliki timu zinazoshiriki mashindano wanayosimamia

    Refa wa jana angechezesha kama Kayombo dhidi ya Mashujaa basi Berkane na CAF officials wangechomwa moto pale Aman. Wazulu walionewa sana mechi zote mbili lakini hatukusikia wakilalamika. Simba ilipofika mashabiki mshukuru viongozi wenu sababu timu ni mbovu mno. Endeleeni kuomba Yanga...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

    Yaani kama ni kuonewa leo Simba wameonewa. Hizi timu zetu zijifunze haka ka mchezo ka kuhonga maana Yanga nao imewakuta mara kadhaa. Simba hapa nyumbani wanahonga sasa sijui wameshindwa nini kujiongeza fainali, huenda wapinzani wametoa pesa ndefu zaidi.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

    Mangungu anataka kumpiga refa hahaha
  8. K

    JamiiForums Tanzania Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

    Simba mmejitahidi
  9. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Alichokifanya Gwajima ni “Insubordination” kwa mwenyekiti wake wa chama. CCM imuite na kumhoji azungumze uhalisia

    Huwa nasikia "wabibi" ndio wachawi wabaya zaidi katika dunia hii
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rasmi CAF yatoa maelekezo kwa broadcasting wote kuhusu mabadiliko ya Uwanja

    Naona aibu kusema Watanzania akili ndogo mno.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rasmi CAF yatoa maelekezo kwa broadcasting wote kuhusu mabadiliko ya Uwanja

    There is no way CAF wanaweza badili uamuzi. TFF na Simba wanawajua vizuri CAF, wakifanya kama unavyo shauri mechi zote zitapigwa Morocco.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Picha: waturuki wakikarabati uwanja wa mkapa

    Tufanye kiti kimoja kimegharimu sh laki moja mpaka kufungwa =6b.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ifanye juu chini mechi ya Fainali ya Simba ipigwe Benjamin Mkapa Stadium, Uwanja wa Zanzibar utangaziwe hali ya Dharula

    Nimeona sold out VIP B na bango la Simba linaonesha mechi ni Mkapa Stadium. Tanzania wananchi wa kawaida huwa wanachukuliwa poa sana. How comes unajua kabisa CAF wamesha fanya uamuzi mechi kuchezwa Aman lakini bado tiketi za uwanja wa Mkapa zinauzwa? Hata mashabiki wenyewe akili ndogo ndiyo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania CAF yaamuru mechi ya fainali Simba Vs Berkane ichezwe New Amaan, Zanzibar Mei 25, 2025

    Ukisoma vizuri barua ya CAF utagundua Simba na TFF waliomba mechi ihamishwe kutoka Aman kupelekwa kwa Mkapa. Naona walieleza serikali ya Tanzania imefanya juhudi kubwa kukarabati uwanja huo wa Mkapa ili kuhakikisha fainali ya inapigwa hapo. Tatizo viongozi wa Tanzania siyo wawazi, hii taarifa...
Back
Top Bottom