Recent content by kanto

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mtu mwenye Div four ya 26,unaweza kusomea nini??

    Afuate nyayo za Bashite bagamoyo na moshi
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mtu mwenye Div four ya 26,unaweza kusomea nini??

    Afuate nyayo za Bashite bagamoyo na moshi
  3. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu: Marufuku RC, DC kuwakamata na kuwasumbua madaktari

    Je agizo la wazir ummy makonda linamuhusu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Operation Mole Cricket 19: Ushindi mkubwa wa teknolojia ya Magharibi dhidi ya Urusi

    Awe mrusi awe nani wote break yao ni muisraeli maana yeye analindwa na Mungu na bibilia imesema waz kuwa a war horse is a vain hope for victory au maneno mengine hata na nuclear zao zote urusi hawaiwezi Israeli na hili wao warusi wanalijua fika ndo maana wanajialign na maadui chungunzima wa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mdogo wa Gwajima amtetea Makonda, asema Josephat apuuzwe vita ya madawa ya kulevya

    Suala la msingi ni vyeti tu watu wengine walibakiza mwaka kustaafu lakini vyeti vya form four vimewaponza na kama yeye hawezi jitetea serikali imsafishe kwa kutaja secondary aliyosoma na jina alilotumia na ikiwezekana hats kutaja walimu wake na classmates wake
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Paul C. Makonda anatakiwa kufikishwa mahakamani?

    Basi tunaomba m2mishi wa Mungu Gwajima amfungulie kesi Ndugu Bashite kwa kuulaghai umma kielimu academic qualifications jambo ambalo mheshimiwa rais kalikemea sana kwa kifupi mkuu wetu anachukia sana vitu hewa anataka uhalisia hivyo basi will the real Paul and the real Bashite step forward...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli wana hasira na wewe, mpe Makonda Unaibu Waziri Mkuu, anaweza

    Ashitakiwe kwa false pretence na literacy terrorism maana ni mbakaji wa vyeti vya watu Pia apimwe kama ni mpenda sifa na achunguzwe vyuo vyote alivyoomba udahili kama hakukuwa na kimemo cha mwanasiasa yeyote mashuhuri kushinikiza admittance maana tunaweza kuwa tunapiga kelele kumbe huyu mtu...
Back
Top Bottom