Ebu tuamini kuwa huyu mtoto amekosea sana kuliko watu wote duniani,-------- naomba kuuliza kwa nini makanisa yanacomwa? Kuna kanisa lolote ambalo laweza kutuma mtoto kukojolea kitabu kitakatifu cha waisilamu? Hao wanaowalea watawalea mpaka lini? Huhitaji busara ya kukopa kama mwenyewe huna'...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.