Recent content by Kanga ulaya

  1. K

    Askofu Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Unaonaje bashite nae atoe vyeti then upigilie kabisa msumari kwa Gwajima kutomkubAli kabisa hebu mshauri iko kitu bwana bashite
  2. K

    Mada changanuzi: Huyu mtu ni nani kwa wanaomfahamu na anafanya nini?

    Itakuwa una personal conflict na yule mwanamke, huyu jamaa amecoment vizur sana amerejea hana kosa sasa kama humuamini huyo source usimtolee povu huyu unapaswa upigekwa hoja sio povu. Tuambie wewe hao ni nani just simple
  3. K

    Rais Magufuli akamilisha ziara mikoa ya Kusini, atua Dar

    Shika adabu yako, uliona Mungu akipiga kura? Acha ujinga ww, Magufuli ni chaguo lenu watz
  4. K

    Nahitaji flat screen tv

    Tatzo mkuu haufunguki bei na aina ya flat we mwaga bidhaa happa then tujue kipi ni kipi mkuu
Back
Top Bottom