Huna haja ya kushindana na watu bila sababu kwani mkienda mnapungukiwa nini na akiandika mahudhurio Kisha ukaenda kwenye shughuli zako nani atahoji walimu jiendeeni tuu
Ukame haukimbiwi bali unafutiwa majawabu, miti itapandwa kijani kitakuwepo siku za usoni. Mambo mazuri hayataki haraka Idodomya siku si nyingi ukame utakimbia wenyewe, kupanga ni kuchagua
Kwenye ajira portal zimamoto kuna tatizo gani na mtandao wenu mbona kuna na vikwazo vya kuendelea na maombi ya ajira.
Anayehusika jamani weka sawa engine siku zina yoyoma
Alilipa kumi milioni na yeye mshahara wake shilingi ngapi? Kuweni wapole mnakumbuka yale ya tegate escrow, yale ya simba mwaka ule . Tutulie vyombo vifuatirie kama waziri yupo sawa basi mtanzania huyu mwenzetu ndio anangwe vile mnamnanga leo
Si kazi rahisi kuongoza au kijiongoza maskini. Documents za umoja wa Afrika ziko vizuri shida ni usimamizi wake ndio mugumu. Kama kungekuwa na kuheshimu haki za watu na matumizi bora ya utajiri uliopo Afrika mapinduzi tumeyasikia redioni sasa kuna watu wanageuka miungu watu wanakula wao na...
Wakanunue nini wakati wafanyabishara wamegoma wacha serikali ikae na hela zake huko uliko. Mgome na nanyi wa mabasi pia si mmegeuza nchi hii yenu pekee yenu na ninyi ndio muhimu. Tulidishe maduka ya mitaa, vijiji na kitongoji
Chalamila asikashifiwe kama andiko lilivyo sheria zinaandaliwa mnaziona hamtoi maoni yenu mnakuwa busy na zote elfu saba. Zote elfu saba humu wenzenu wanaleta sheria wadau mnakuwa kimya . Sasa mnagoma kuwasilisha hoja kwa serikali au kuona Chalamila anavyoweza kuhandle matatizo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.