Naulizi kuna alisikia habari yoyote humu juu ya walioomba nafasi za Tuico je wameshaitwa katika usaili mimi ni mmoja wao lakini ni miezi imekatika sina taarifa zozote.
Kwa upande wangu mwanamke mwenye tatoo ni mwanamke aliekosa maadili, na fikra hzohuenda mbali hata kwa mwanaume aliekosa tatoo namuweka kwenye Kundi la wasiojielewa....
Kiuhalica kila mwanamke ana haki ya kuolewa n hii ipo sana ktk islamic states mfano Almarhum Muammar Gadaf alikuwa akilipia mahal raia wake km motisha ya kuoa n pia wacpatikane spinsters...so wanayo haki hiyo ila c kwa nchi zetu hizi.
Ila chengine kinachonishangaza mpumbav gani ataeoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.