Recent content by Kanaeli Aikaeli

  1. K

    Je, huu sio uvunjaji wa haki za msingi za binadamu unaofanywa na serikali ya Magufuli?

    Na bado, naomba Rais adhibiti hadi kiwango cha gharama za sherehe mfano harusi. mlizidi!
  2. K

    Pongezi Lukuvi lakini kazi yako isiwe kubomoa tu bali na ardhi ishuke bei

    Kwa kweli nami natoa pongezi za dhati kwa Mh. Lukuvi kurudi tena wizara ya ardhi. Tafadhali naomba ufanye muendelezo wa kuwafuatilia ofisi yza ardhi haswa manispaa ya Ilala. Kata ya Kivule ambayo kwa sasa imegawanywa na kutoa kata mbili (Kivule na Kipunguni) diwani aliyemaliza muda wake alifanya...
  3. K

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Naomba nieleweshwe huu mkutano ni uzinduzi wa nini, naona kama wanazindua kiduku. au mimi sikuelewa. nilisikia kama wanazindua kampeni ila bado sijasikia nilichokitarajia. Naona nguvu zangu nielekeze Ukawa huku sijaambua kitu.
  4. K

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Muda unaisha bado sijasikia sera za CCM zaidi ya mipasho. watasema yanayotuhusu watanzania saa ngapi. hii ni aibu. unit zangu za umeme zinaenda bure na sijapata nilichokitarajia. CCM imekufa siyo niliyoifahamu
  5. K

    Ninamtunuku Freeman A. Mbowe nishani ya Rafidainian Order First Class, ROFC

    Kwenye kila mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke nyuma yake. Napenda kuchukua nafasi hii kumpongeza mke wake Lilian kwani ana mchango mkubwa sana kwenye hili.Big up LILIAN
  6. K

    Huyo ndio Lowassa anaeinyima usingizi Kikwete na CCM yake

    Mungu ana njia nyingi. haya ninayoyaona sikuwahi kuyawaza hata mara moja kwamba ukombozi wa watanzania unapatikana/tptikan kwa njia hii. kweli Mungu ni mwema.
  7. K

    Lowassa ni kipenzi cha Watanzania

    Enzi zake akiwa serekalini ofisini kwetu tulimtambua LOWASA kwa jina la "ninaagiza" anafaa kuwa kiongozi anasimamia anachokisema
  8. K

    Mikakati ya kulinda heshima ya mgombea urais wa CHADEMA yaendelea, sasa ni kuhusu muda wa kuzungumza

    Hata ulete hadithi gani, kura yangu kwa LOWASA. hata akipunga mkono kusalimia tu inatosha. anayo team nzuri ya watendaji. subiri akuwekee baraza la mawaziri atakaowasimamia kwa umakini chini ya UKAWA. hapo utajua maharage siyo mboga ni kiungo cha makande.
  9. K

    Capt. John Chiligati kuchukua nafasi ya Nape, hatogombea Ubunge tena

    Nawaza wa sauti. Je mabadiliko haya yataondoa ile dhana ya familia kuongoza chama?
  10. K

    Updates kutoka Zanzibar: Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA

    Ndio hivyo mlawamum kwa kweli sisi UKAWA hatuna mpango wa kuchagua malaika ila tuna mpango wa kumchagua Rais, na LOWASA ndio chaguo letu na mpango mzima
  11. K

    Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    Hongera CHADEMA na UKAWA kwa ujumla. Nimefurahi kwa haya niliyoyaona kuanzia Juzi Mbeya, jana Arusha na leo Mwanza. Mungu akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu
Back
Top Bottom