Recent content by KANAANI

  1. K

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

    3zov yuko wapi???
  2. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lakataa vijana 8 kutokana na kujihusisha na vitendo vya Ushoga

    Wewe nawe nishoga! Bawasili haihusiani
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ninaposema Mwafrika kapunjwa akili na Mungu kwa makusudi kabisa muwe mnaelewa. Rejea ajali ya ndege Bukoba 06/11/2022

    Wanajeshi wanahusikaje hapo??? Uliza kazi ya jeshi la zima moto na uokozi linakazi gani? Kusubiri moto?? Uliza tena vituo vyao kwa nini vipo mjini peke yake? Ziwani na vijijini hakuna majanga??? Ziara ikatizwe.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rwanda Wailaani DR Congo kwa ndege yao ya kivita kutua Rwanda

    Kagame wanamlea sana! Kanchi kadogo hafu jeuri
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mpina awe makini na vijana wale, amesema ukweli kuhusu symbion lakini yanaweza kumkuta makubwa akatoka duniani

    Gari lilishawaka..! Hata kama cyo leo ipo siku itakaa level! Baada ya jpm alikuja mtu anaitwa haraka haraka, wakampa cheo, sasa katokea mpina humo humo mungu akiamua hazuiriki
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mpina awe makini na vijana wale, amesema ukweli kuhusu symbion lakini yanaweza kumkuta makubwa akatoka duniani

    Hicho cyo chama kaka! Nigenge la wachumia
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nimeachana na vifurushi vya TIGO, hawafai hata kidogo

    Mi nilitupa na line kabisa.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia wasikudanganye nikodishie Helicopter nikakuonyeshe Wakubwa Watano waliochepusha Maji ya Mto Ruvu

    uko sawa mkuu, ukisoma sifa zilizopelekea mji wa jerusalem kuwa na sifa, sifa moja wapo ni hii yakuvuna maji ya mvua, mji huu umezungukwa na mabwawa ya maji kila kona, wao kipindi kile waliita mabirika (rejea ktk tafsiri ya bibria sehem ya yerusalem) hivyo mvua zikinyesha wanavuna maji yote...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hali inatisha, Kariakoo hakuna umeme, uchumi wa majenereta umerudi?

    Kila Mtu ale kwa urefu wa kamba yake
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kalynda na dada zake, bila Serikali inayolinda watu wake Watanzania watalizwa sana

    Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kariakoo, Dar: Kumetokea ujambazi wa kutisha mtaa wa Lindi na Livingstone muda huu, Polisi mpo wapi?

    Police police! Juzi wale panya rod walivyopigwa vyuma ndg zenu chadema wakaanza kuwatukana police nakutaka tume iundwe, mhindi kapigwa tunahoji police wako wapi! Waambieni chadema na bagonza wawahi sasa.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rais wa miaka 10 wa watu milioni 60, siku yake kubwa kuliko zote maishani ilikuwa kukutana na Michael Jackson na Rihanna!

    Ni maraana tu! Hakuna cha mchawi, ukijumlisha na raana ya jpm, yaani mpaka poh🤣🤣🤣
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rais wa miaka 10 wa watu milioni 60, siku yake kubwa kuliko zote maishani ilikuwa kukutana na Michael Jackson na Rihanna!

    Nadhani nimda mwafaka watuambie na gharama za kutangaxa hii birthday na ctoods fm nani analipa, au ufadhiri wa nani..! Na argenda kuu ni nini..! Kama ni urai wa mtt wa mramba asali basi watakuwa wamedanganywa na utafiti wao.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hayati Baba Magufuli najua hujalala mpaka yalio andikwa yatimie (Utabiri)

    Huyu mwamba hawawezi kumfunga wala kumwachia..! Wanamjua alivyo na nguvu kubwa.
Back
Top Bottom