Recent content by Kanaan2020

  1. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

    Ni kaugonjwa kadogo tu chapeni kazi
  2. K

    JamiiForums Tanzania Zitto: Makubaliano ya Serikali na Barrick Gold changa la macho

    Kwa kifupi halo hakuna kilichobadilika ni mwambie tu na kuibadilisha maneno
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

    Namuunga moon Trump kama huyo ban itasaidia kuwalazimisha watawala wa nchi hizo kurekebisha baadhi ya mambo ambao hanako sawasawa
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mzee Sumaye: Niliambiwa mapema ndani ya Chama chetu hakuna Demokrasia, ukigusa uenyekiti wa Mbowe utashughulikiwa

    Sumaye katuhumiwa tu wala hakuna ushahidi wowote
  5. K

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Vita ya Rushwa haiwagusi/inawakwepa viongozi wa Serikali

    Tungekuwa na Waze japo watano tu Lama warioba kungekuwa na manadiliko lakini kwa bahati mbaya sijui wastaafu wtu wanaogopa nini kufungua vinyasa vyao, Nawalenga Waze kwasababu hawana cha kupoteza
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mzee Jakaya Kikwete awaasa viongozi kuwa kujishusha hakukufanyi usiwe kiongozi. Kujimwambafai hakukufanyi uwe kiongozi zaidi

    Anauogopa upinzani kama ukoma,hajiamini kabisa katika upinzani wa hoja
  7. K

    JamiiForums Tanzania Heri ukutane na Magufuli kuliko Majaliwa...

    Mmmmmh,naona made hujamuelewa Jpm
  8. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuizuie CCM kutuletea vita na mauaji

    Huyu kiongozi mkuu anayepandikiza mbegu sa chiki inabidi tumchunguze vizuri ajili ya uraia wake
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania imetimiza Hatua 8 za kujenga Utawala wa Kidikteta?

    Zitto usiogope ukelele za chura ,ulichokiandika ni sahihi mno ndio maana Limimba timu wanahaha hawana hoja ya kujibu matokeo yake wanaishia kutukana
  10. K

    JamiiForums Tanzania Fukuza Marekani nchini

    Wamarekani wako sahihi acha kuwashwawashwa
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kuna wanaopanga maandamano ya nchi nzima kushinikiza kusiwe na uchaguzi 2020 na Magufuli aendelee kuwa Rais

    Nyerere alikuwa peke yake na upinzani wake alikuwa kivuli lakini uchambuzi uliendelea kuwepo lila baada ya miaka mitano,kusema uchaguzi usiwepo huo ni ulevi
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Sijui kavimbiwa maharage ya wapi huyu
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rais Jonh Pombe Magufuli kweli kidume, mtu amekwishaliwa kichwa!.

    Kama huna cha kuandika nyamaza,usitopotezee bundle
  14. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya Utawala wa Magufuli, nini kitatokea?

    Baada ya utawala huu,ajira za watu wafuatao zitakuwa mashakani,Mrisho Hambo,Mnyeti,Ally Hapi,Paul Makonda na Jerry Muro
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Prof.Kabudi na AG wasishtakiwe kwa kuingiza taifa letu hasara?.

    Mtoa maaada ameeleza kwa ufasaha lakini bila kukata kona yule mwenye maamuzi ya mwisho ndiye alitumia ubabe kukataa kulipa deni kama vile a a yofanya kwenye mambo mengine lakini jambo alilojisahau kuwa kesi ilikuwa nje ya Tanzania
Back
Top Bottom