Nafikiri wanataka kurudisha utawala wa kifalme kama alivyo king Mswati wa Swazy,au akina malkia Elizabeth, ambapo ufalme unarithiwa kifamilia. Lakini ndugu zangu,Mungu yupo anaona haya. Kwa wana dini mnakumbuka wana wa Israeli walipokuwa nchi ya Misri? walilia sana na Mungu alisikia kilio chao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.