Recent content by Kamwene

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mnaosema maisha ya Arusha ni magumu kuliko Dar huwa mnamanisha nini?

    Uko sahihi kabisa,nipo arusha tangu 2012,nilitokea dar,kiukweli natamani saana kurudi dar
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mrejesho fao la kujitoa kutoka NSSF

    Samahani mkuu naomba unielekeze jinsi ya kuhamia huko kwenye Pspf supplementary,mimi mkataba wangu umeisha nimejaribu kwenda PPF wameniambia watanipa hiyo 33%,ila bado sijajaza form nilikuwa naendelea kufikiria njia ya kuvuta pesa yote.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ufuta unawafanya watu wawe na viburi mjini hapa

    Mbarali pia kuna barabara ya kwenda madibira pia kuna watu wanalima na unakubali tu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ushimen: Ebu ngoja leo niwape mawazo machache ya kujikwamua

    Habari mkuu ushimeni,naomba pia maeneo ya kuuza mayai ya kisasa,au biashara ya mayai ya kisasa kwa dodoma
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ushimen: Ebu ngoja leo niwape mawazo machache ya kujikwamua

    Mzee ushimen,mi naomba location ya kuuza mchele wa jumla na rejareja pia soko la kuuza nguruwe wazima.Mkoa wa dodoma
Back
Top Bottom