Hebu fafanua maelezo yako pls kuhusu huu mkataba wa kuiokodisha ndege kwa kujibu maswali yafuatayo:
1. Serkali imeikodisha Airbus?
2. Aliyekodishwa ni nani?
3. Kukodisha huku ni kwa hiari, au ni sharti la manunuzi toka Airbus?
4. Kwa nini - endapo ni sharti - hatujulishwa tangu mwanzo?
Sent...
Mwandishi kajitahidi lakini kuna hitilafu kadhaa ambazo zinahitaji kusahihishwa.
Hizi ni za errors of fact, na pia za style ya uandishi. Mfano wa errors of fact ni uwepo wa DC enzi za Wajerumani enzi hizo, maana hata hizo districts hazikuwemo kwenye mfumo wa utawala wa Deuscht OstAfrika. Aidha...
Na mzee kisha sema si kipaumbele kwake. Kila nikifikiri najikuta naamini kwamba Tume ya Warioba na BMK vilikuwa "gelesha" tu, na vilifanywa pia ili chama tawala kiwalipe mamluki wa uchaguzi 2015 kwa kutumia pesa za uma. Tuna safari ndefu.
Hawasemi ukweli si WHO rep au Wizara ya Afya. Hawawezi kujua kama upo au la kwa sababu hakuna tafiti zinazokanusha uwepo zilizofanywa hapa Tanzania. Piili hawalezi kwamba Zika si ugonjwa wa watoto waliomo wanaosubiri kuzaliwa tu. Mtu wa umri wowote anaweza kuugua Zika. Kwa wengi si ugonjwa wenye...
Hatujaridhika na majibu ya Makonda. Swala liendeshwe kwa mujibu wa sheria sio kama matangazo ya fiesta. Takukuru wamhoji nani walitaka kumhonga, na kwa nini hakutoa taarifa hapo hapo.
Kwa nyongeza tu kwa nini tusiamini kwamba Makonda aliipokea hiyo hongo? Hata hivyo hatujachelewa sana. Takukuru imtake atoe hayo majina na ichukue hatua stahiki.
Jisemee mwenyewe ndugu. Huna uhalali wa kuwasemea wengine, hasa kama unatumia hisia tu na si data za utafiti makini. Pia ku-generalize ni hatari mno, na busara ya kawaida humkataza aliyenayo kufanya hivyo. Mwisho intaneti ni zaidi ya Facebook na Whatsapp, na tuko Watanzania wengi ambao...
Unapatikana kwenye tovuti ya bunge, ingawa nakubaliana nawe kwamba ungesambazwa kwa umma pia kama chapisho kwenye vyombo vya habari tunavyovilipia toka kwenye kodi zetu km Taifa leo.
Huu mtindo wa kuwaambia watu wafanye kazi badala ya hiki au kile una walakini. Sidhani kama kuna anayeacha shughuli zake za kujikimu na kujiendeleza akaja mtandaoni. Kadhalika wajibu wa mwananchi kwa serkali yake ni kulipa kodi, na kujitunza yeye na wanaomtegemea. Sijaona utafiti uliothibitisha...
Ili tuwe na mjadala wenye tija nashuri kwamba kwanza tuanze na kufaanua maana ya msamiati tunaoutumia. Hivyo naomba kwanza utupe definition ya Mungu na creation kama ulivyovitumia hapa.
No hayajaisha. Mimi ningekua najibu hizi hoja ningetoa vyeti vilivyohakikiwa,mathalani cha kuzaliwa au cha Form IV ili kutoa shaka kabisa. Mheshimiwa hapo juu kahadithia na kuonyesha correctly kwamba mjina hubadilika. Aendelee ushujaa aliouonyesha kwa kuweka nakala za vyeti hivi. Viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.