Recent content by kamugishacharles

  1. K

    Biashara ya nyanya kwa msimu huu

    Ndugu wapendwa naomba kupata ushauri wa namna ya kupata masoko ya kuuza nyanya hasa katika kipindi ambacho kwa sasa nyanya zimefurika sokoni.Natarajia kuanza kuuza wiki moja ijayo. Je utaratibu mzuri ni upi? kuuza kwa kiloa au ndoo au tenga.
  2. K

    Vigezo gani hutumika kumuita mtu Mtakatifu?

    Nakubaliana na wewe kama hujui mada tafadhali usichangie utakuwa unaonyesha upumbavu wako kwa kusema kitu usichokijua
Back
Top Bottom