Maafisa ustawi wanafanya kazi nzuri sana na ngumu. kutumia kwao sheria ndio kunapokuonyesha hujapata haki yako. Afisa ustawi haamui kesi bila vifungu vya sheria napia hukutakiwa kweli kumsindikiza sababu mahojiano ni siri na ni ya watu wawili labda uhitajike wewe msindikizaji tena kwa barua...
Kuna kazi ngumu kama wanayoipata maafisa ustawi wa jamii??? Kusuluisha migogoro ya ndoa,kulinda haki za watoto,wazee,watu waishio na vvu,walemavu kwa ujumla na kuwajenga waone maisha ni kama zawadi kwao... Pia walimu nawakubali sana ila serikali ikiongeza mishahara iguse kote.Hali ya maisha si...
Hivi ikiongelewa mishahara inawataja walimu na kada ya afya tuu. Je, watumishi wengine hawafanyi kazi tena ngumu sana zinazohitaji kutumia akili kudeal na pyschosocial problems?
Je, mishahara itaongezwa kuziba mianya ya maisha tunayoikabili ili kuweza kufikia malengo ya nchi na ya mtu mmoja mmoja?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.