Recent content by KAMSIGE

  1. K

    Kigoma kaskazini CHADEMA mchakamchaka

    Makamanda wa CHADEMA wanatarajia kufanya mkutano mkubwa wa hadhara kijiji cha Mkabogo ndani ya jimbo la Kigoma kaskazini siku ya Jumapili. Mchakamchaka huu utasimamiwa na vijana wapenda mabadiliko na wazalendo wa kweli wanaoamini mabadiliko ya wana Kigoma kaskazini yataletwa na wana kaskazini...
  2. K

    CHADEMA watafanya mkutano mkubwa Kigoma Kaskazini Jumapili

    Makamanda wa CHADEMA siku ya jumapili wanatarajia kufanya mkutano mkubwa wa hadhara kijiji cha Mkabogo ndani ya jimbo la Kigoma kaskazini siku ya jumapili. Mchakamchaka huu utasimamiwa na vijana wapenda mabadiliko na wazalendo wa kweli wanaoamini mabadiliko ya wanakigoma kaskazini yataletwa na...
  3. K

    ACT ni mbadala wa CHADEMA au CCM?

    ACT ni mbadara wa CUF kwani ndicho chama kimekuja na mkakati wa kuwakusanyanya waislamu waliokuwa wamesambaa. Mratibu wa ACT kg ni div 0 ya newman kg na zuzu la kufa mtu linalohubiri udini na ukabila katika kutafuta wanachama.
  4. K

    kutoka kwa kamsige,

    Namtafuta mwl Christina Ngomuo aka Zaitun akiwa shule ya msingiTarangire.wasiliana nami kupitia 0769506719.
  5. K

    Kutoka Kigoma kaskazini

    wapiga kura wa ZZK tunamshukuru Mungu kwa yote yaliyotokea kwa Mbunge wetu na haya yote tunasema yamekuja kwa wakati kwan huyu jamaa ana ndimi nyingi zinazomfanya kutoaminika mbele ya jamii.Jamaa ana mchango mdogo mdogo sana ktk chama na ndio maana jimbo lake mpaka leo lina diwan mmoja tu wa...
  6. K

    Viongozi wa Chadema Kigoma

    Hodi hodi wana jamvi,mm ni mwanajanvi mpya naomba mnipokee.nianze na viongozi wa cdm hapa mkoani kg tangu wachaguliwe hasa mwenyekiti wa Bavicha mr Beji ambaye pia ni meya wa manispaa ya h ya kg ujiji,huyu jamaa toka achaguliwe hafanyi Vikao wala kuhamasisha vijana kujiunga na chama yaani ubutu...
Back
Top Bottom