Habari wanajamvi?
Kwa wale wanaofahamu makampuni au wajasiriamali wanaotengeneza mashine za kumenya na kukausha mhogo (cassava peeling/drier machine) anielekeze ama anipe contact zao please. Natanguliza shukrani kwa michango yenu.
Kwa wale wanaotaka kujiajiri na wanakosa mtaji wabonyeze link hii hapa waanze kukusanya mtaji online, kujisajiri na kuanza kutengeneza pesa ni bure:
Hapa tutakudirect kwenye homepage ambayo utatakiwa kujisajiri kama member kwa kufungua akaunti yako kisha utapewa link yako utai-copy na kui-paste...
Kama link hiyo inagoma kufunguka na kukudirect kwenye homepage ya website husika tafadhali ni-inbox PM namba yako ya simu au email address yako nikutumie link husika.
Bonyeza link hii hapa uanze kutengeneza fund yako mwenyewe online, mi nimejiunga wiki juzi hadi sasa kwenye akaunti yangu natengeneza minimum $50 kwa siku kwa sababu network yangu bado haijakua sana. ukiwa na network link kubwa yenye visitors wengi unaweza kutengeneza hadi $5000 au zaidi kwa...
Habari wanajamvi! Naomba kwa anayefahamu ilipo kampuni ya kizalendo ya VML Global Tanzania Limited au saccos yao Vission Saccos Limited anielekeze walipo, nataka niende kuwaona nina muhogo ekari 10 natarajia kuvuna niwauzie maana naskia wanatoa bei nzuri ya raw cassava kwa ajili ya kutengenezea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.