hakika kwa mwono wangu Mh. Nchimbi yuko sahihi kabisa pia ukiangalia fuyo hizo zinaingizwa katika dini ama furugu hizo zina fanywa kwa mgongo wa dini hivyo waziri anakila sababu ya kuzuia mihadhara kwa muda huo ili viongozi wa dini na serikali waangalie ni kwa namna gani mihadhara itaweza...
TANZANIA TUITAKAYO KWA MIAKA IJAYO
NATAMBUA YA KUWA KWA SASA TUPO KATIKA MCHAKATO WA KUJADILI NAMNA GANI KATIBA YA TAIFA LETU IWE NA HATIMAYE TUTAIJADILI NA KIPIGIA KURA ILI IWE KATIBA HALALI YA TAIFA LETU LA TANZANIA.
NIKIWA KAMA KIJANA MWENYE MATUMAINI YA KUWA NA TAIFA AMBALO HALITA KUWA NA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.