Tanzania niitakayo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania niitakayo.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kamona, Oct 21, 2012.

 1. K

  Kamona New Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TANZANIA TUITAKAYO KWA MIAKA IJAYO

  NATAMBUA YA KUWA KWA SASA TUPO KATIKA MCHAKATO WA KUJADILI NAMNA GANI KATIBA YA TAIFA LETU IWE NA HATIMAYE TUTAIJADILI NA KIPIGIA KURA ILI IWE KATIBA HALALI YA TAIFA LETU LA TANZANIA.

  NIKIWA KAMA KIJANA MWENYE MATUMAINI YA KUWA NA TAIFA AMBALO HALITA KUWA NA MAMBO YASIYO NA MAANA KWA WANANCHI NA JAMII KUTOKA KWA VIONGOZI WA SERIKALI NA HATA SEKTA BINAFSI.

  KWA UPEO WANGU WA KUFIKILIA NITAPENDA YAFUATAYO YAPEWE KIPAUMBELE KIKUBWA KATIKA KATIBA MPYA YA NCHI YETU , MAMBO HAYO NI HAYA
  (1.) NAONA KUNA KILA HAJA YA KUWEPO MIDAHALO YA PAMOJA KWA WANASIASA KWA KILA KIPINDI CHA ACHAGUZI KUANZIA KATA HATI RAIS. NAAMIN KUWA WANASIASA WOTE NA WATANZANIA NA WANA NIA YA DHATI YA KUWAKOMBOA WANACHI KWA KUTUMIA FURSA ZILIZOPO KATIKA NCHI YETU KWANI KWA KUFANYA MIDAHALO YA PAMOJA KUTALUHUSU WAGOMBEA KUTOA MIKAKATI YA CHAMA CHAO KWA AJILI YA TAIFA HIVYO ITACHOCHEA KWA CHAMA KITACHO SHINDA KUWEZA KUIGA MIKAKATI HIYO.
  (2.) KATIBA ITAMKE WAZI KUWA KILA CHAMA NI LAZIMA KITEKELEZE BAADHI YA MILADI YA JAMII KWA KUZINGATIA MAJIMBO WALIYO SHINDA NA MAJOMBO WASIYO SHINDA KWANI KWA KUFANYA HIVI NAAMINI KILA CHAMA NA MWANASIASA ATAWEZA KUTIMIZA DHAMILA YAKE KWA CHAMA CHAKE KWANI SISI NI TAIFA MOJA NI LAZIMA TUSHIRUIKIANE.
  :A S-alert1:
   
Loading...