Recent content by kammbonde

  1. kammbonde

    Special kwa wadada warembo wanaopenda kuwa unique

    Najaribu kuweka zinagoma mpenzi ndio maana nikaweka details hapo ambazo ukiingia unaona kila kitu. Karibu sana
  2. kammbonde

    Special kwa wadada warembo wanaopenda kuwa unique

    Ist grade mtumba clothes unapatikana kwa bei nzuri hapa dukani kwetu maeneo ya TABATA AROMA karibu na DAR WEST PARK. Tuchake kwenye wtsp #0714121270 or 0758233324,our facebook page: dativahcleanlooks, the same name on instagram to see our daily stock.Karibuni sana.
  3. kammbonde

    Nimemuumiza dada mfanyakazi mwenzangu lakini sijutii hata kidogo

    Muhusika ndio alitakiwa approve na siyo yeye kumprovia kwani alikuwa anaenda kumshika miguu wakati anaenda kugawa au umbea tu. Isitoshe nyie wanaume mnatabia ya kujisifu uongo juu ya mwanamke.
  4. kammbonde

    Nimemuumiza dada mfanyakazi mwenzangu lakini sijutii hata kidogo

    Mshamba sana wewe. Unawezaje kucmama katikati ya watu wawili dume zima halafu unaona umefanya cha maana nyie ndio wale mnaokuwaaga vimbelembele maofisini kudiscuss ya watu utafikiri ndio kilichokupeleka hapo.
  5. kammbonde

    Natafuta TV LED au 3d :: kwa Bei ya Kizalendo

    Inchi ngapi na brand gani maana kuna sumsung, singsung, zec, tcl?
  6. kammbonde

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Nenda kwa watu wanaokata mabalo yq nguo za watoto chagua nguo ambazo ni quality kwa shiling 50,000 unaweza kupata nguo kama pc 25 kwa bei ya shilingi 2500, then wewe utauza kwa 5, 000. So utapata faida nusu kwa nusu kazi kwako mzee.
  7. kammbonde

    Msaada wana JF naibiwa

    Niajir mimi nikufanyie biashara yenye akili...lol! Siku zote usiajiri mtu asiyejua thamani ya hela kwenye biashara yako ataishia kukunawa tu.
  8. kammbonde

    Viatu kwa kina dada.

    Ndugu zangu network ilikuwa inanisumbua sana haya kazi kwenu wadada
  9. kammbonde

    Viatu kwa kina dada.

    0714 121270 naomba uniwhatsup nikuonyeshe sample plz
  10. kammbonde

    Viatu kwa kina dada.

    Nauza viatu brand ya Uk na USA. High heels na flat shoes kwa bei nzuri, nakuletea mpaka ulipo kwa DSM tu.kwa muhitaji ni PM nikutumie sample.
  11. kammbonde

    Ajira

    Habari wana jf, mwenye kuhitaji mtu aliyesomea Accounts , piga 0758233328.Asante
Back
Top Bottom