Duuuh, ulichoxema hapo above ni kweli mkuu lakini vijana wengi wanashindwa kufanya ivyo kwa sababu zao wenyewe labda hawana enough capita ya kuweza kutekeleza hilo swala na kingine vijana wanataka mafanikio ya papo kwa papo mfano amepanda mti wa mchungwa leo basi kesho anataka avune machungwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.