Samahani wana jukwaa kuna simulizi niliwahi kuisoma ila sikumbuki niliisoma wapi.
Simulizi hiyo inahusu kanisa moja huko ulaya lenye Chumba maalum kwaajili ya Couple inayotaka kujitenga, couple hiyo hupewa chumba kicho chenye kitanda kidogo shuka moja, sufuria sahani kijiko na kikombe kimoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.