Recent content by Kamgomoli

  1. Kamgomoli

    JamiiForums Tanzania Unadhani vyama vya siasa wamejifunza nini kutokana na anguko la CHADEMA?

    Tena sio matope ni usaha kabisa
  2. Kamgomoli

    JamiiForums Tanzania 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗸𝘂𝗳𝘂𝗻𝗴𝗮 𝗸𝗮𝗺𝗲𝗿𝗮 𝗻𝘆𝗶𝗻𝗴𝗶 𝘇𝗮𝗶𝗱𝗶 𝗻𝗰𝗵𝗶𝗻𝗶 𝗸𝘄𝗮 𝗠𝗮𝘀𝘂𝗮𝗹𝗮 𝘆𝗮 𝗨𝘀𝗮𝗹𝗮𝗺𝗮

    Tenda zimejaa upigaji wa kutisha. Sintoshangaa zikiletwa camera feki.Angalia taa za sola za barabarani, zinawaka mwezi mmoja tu toka kufungwa baada ya hapo zinazima "and no one cares."!!Hii ndo bongoland inayotegemea akili za akina Msukuma.
  3. Kamgomoli

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

    Fikra zako zinaonyesha wewe ni mmoja wapo mnaotutia aibu huko Kenya.
  4. Kamgomoli

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini UVCCM hawawajibu Vijana wa Kenya?

    Ubabe ndo mnaweza ila kujibu hoja hamuwezi kwassabu kichwani ni empty. Bogus kabisa!
  5. Kamgomoli

    JamiiForums Tanzania TANZIA Diwani afariki dunia ghafla baada ya kuhutubia mkutano wa ziara ya CCM

    Hakuna kamanda anaewakimbia askari wenzake, alijivua mwe yewe ukamamnda baada ya kuhamia kwa chama cha watekaji.
  6. Kamgomoli

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Polluted River in Mikocheni A Poses Health Risk to Residents

    Mwandishi atakua mhaya huyu!
  7. Kamgomoli

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa dada yangu Dr Tulia, epuka mizaha na Neno la Mungu.

    Ulokole sio kujiita au kuitwa ni vitendo. Km vitendo vyake haviendani na ulokole huyo hana tofauti na wapagani wengine.
  8. Kamgomoli

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa kilimo naomba kujua madhara ya dawa ya kuua magugu shambani

    Sintoeleza kwa kina kitaalamu jinsi hizo sumu zinavyoathiri Bionuai(Viumbe na mazingira) ila kwa kifupi dawa za magugu hazina tofauti na bomu la nyuklia.Tofauti yake ni kwamba madhara ya dawa za magugu ni ya polepole.
  9. Kamgomoli

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuongozwi na hatuwajibiki kwa Bunge la Ulaya. Tutalinda uhuru na heshima yetu kwa nguvu zetu zote

    Acheni kuteka na kuonea watu km hamtaki kusemwa,mbona Simple!
  10. Kamgomoli

    JamiiForums Tanzania Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa

    Sawa dada tumekusikia
  11. Kamgomoli

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

    Be serious hata kidogo,mtu kaumizwa unacheka!
Back
Top Bottom