Leo hii namka2 naskia taarifa ya habari ETI TANZANIA NI YA KWANZA KUWA MASKINI KATIKA NCHI ZA KUSINI MWA SAHARA wanao itia umasikini ninani ? kama sio mafisadi na mikataba mibovu wache wahamie huko tutawakamata tu siku zao zina hesabika
Daa nimeanmini tanzania kazi kwelikeli hivi hao vigogo sio wasaliti bali wamekosaulaji wanaona hawatajiliki haraka wabinasfi hao hamna lolote ukiwa ccm bana ndani yamiaka miwili lazima uwe tajiri maisha mazuli hawana uchungu na pesa za wananchi wache waende watarudi 2
MH.Nassari naamini nimchapakazi mzuri hawezi kujitafutia umaaufu lisemwalo lipo hata wananch wanaona sio kazamani people are changing day2day ufisadi nowdays nje njewatu hawaogopi wanaiba tu suruhisho ni katiba2 ndo itamaliza matatizo yote
Halloooo.nimeyapenda marumbano yenu bt tubishane kwa hoja marangapi mafisadi wanatuhumiwa wamekula mapesa ya nch or wananchi mwisho wa siku inakua ni historia hamna linalo fanyika chamsingi tukibadirika sisi wananchi hata nchi itabadilika tena kabisa ufisadi ,rushwa itaisha kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.