Recent content by Kambona Mosha

  1. K

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila aapa kurejesha mabasi yote yaishie Stand ya Magufuli

    Nchi inashida Sana hii inatakiwa uwepo utaratibu Kama kuanzisha kitu serikali ikae na wadau wahilo jambo watoe mawazo Yao ,kuliko kukurupuka na kufanya alafu mnanza kulaumu watu bure
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kila nikimgusa anakuwa mkali, napata wakati mgumu na ndoa yangu

    Usikute una mali na pesa nyingi halafu unambana sana ,akapata mwalimu anamfundisha ili mzinguane mgawane ndugu ,kuwa makini
  3. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Car wash

    Jamani dar imechafuka yono wanakamata magari kila mahali hasa kimara Hadi kibaha tuwe makini tutafilisika
Back
Top Bottom