Recent content by Kambala dume

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Antipas Lissu: Historia na harakati zake katika siasa za Tanzania...

    Big up tundu lisu we ni mtetezi haswa.. Keep that spirit wapo wengi sana ambao bado wananyanyasika hivii hapa bongo.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa atembelea msikiti wa Mtambani ulioungua, ahuzunishwa kwa yaliyotokea

    Mmh ndugu vip mzima??!... umesema MESIA!!!???,,, we ni wa kike au wa kiume???
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kuundiwa Zengwe ili afukuzwe uanachama ndani ya CHADEMA

    Duuu kwel akil ni mali... kwaiyo mkuu huyu mdau wako yuko karibu na dr na mbowe na mzee mtei wote au docta ndo alikua anamwambia kwa sasa lissu tumemsemea kwa mbowe halafu badae akamwambia wamesema kwa mteii.. ??shtuka blazaa unadeal na watu timamu kilazaa mkubwa ww
  4. K

    JamiiForums Tanzania PICHA: Prof. Jay akiinadi CHADEMA Ifakara

    Utafutiwe bwana uolewe we sio mwanaume kabisa... mwanaume gan una tabia za kike kike kama hizii??
  5. K

    JamiiForums Tanzania PICHA: Prof. Jay akiinadi CHADEMA Ifakara

    Sasa kama wewe unafanya hawa ulofanya baba zao wawaruhusu kuimba wanangoja nini?!!@..ALLUTA CONTINUEA KAMANDA JAY
  6. K

    JamiiForums Tanzania Fomu za kugombea uongozi wa BAVICHA na BAWACHA Taifa zimetoka

    Hata wale wenzako walipigana unadhan walipewa bure.. ndo maana boss wenu aliweka wazi ukitaka kula nawe lazima uliwe... jianda kuliwa na safar hii nasikia mlaji ni yule sura mbaya ya kule mara..
  7. K

    JamiiForums Tanzania Fomu za kugombea uongozi wa BAVICHA na BAWACHA Taifa zimetoka

    Vip mwanamke mbona povu lakuto au ndo umeanza propaganda za kuuwinda uviti maalum kama wenzako akina kamata na asha?,!!@//
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Sabodo Nyerere Day unatisha

    Huelewi ni sasa kuwa mwanaCCM ndo kukubaliana na kila kitu ambacho CCM wanafanya regardless ni kizur au kibaya?!.. nini maana ya democrasia...??! Hii ndo shida yetu watanzania wengi kushabikia hadi mambo ya kijinga kisa tu kimesema au kufanya chama chako cha kisiasa .
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ndoa Kati ya UKAWA na Tume ya Warioba Kufungwa Rasmi kesho Agosti 12, Buguruni

    Naona umeamua kuweweseka kaka..umekosa mashiko rudi ukajipange..
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Serikali (Werema) na Sophia Simba nusura wazichape kikaoni

    Ebo huyu baba busara kapeleka wap?? Ye ndo bondia wa serikali kila siku anataka kupigana yeye tu.. mara na kafulila leo na sophia simba ... tumchukue tupelekee madola huenda akarudi angalau na shabaa
  11. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma kutoka bunge maalumu la katiba

    Mzee anaweweseka sasa
  12. K

    JamiiForums Tanzania Siri ya kudai serikali tatu yagundulika

    Mbulula kweli ungejua jinsi rasimu ya warioba ilivopunga izo offisi sijui posho na takataka ulizoandika ungekaa kimya upikie mbogo familia yako..
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kumekucha CCM, hii ni aibu ya mwaka

    Nyomiiii ya hatariiiii
  14. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yazidi kudhoofika,viongozi Urambo wajivua magwanda

    We unamjua yupi?,!!
  15. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yazidi kudhoofika,viongozi Urambo wajivua magwanda

    We unamjua yupi?,
Back
Top Bottom