Recent content by kamamii

  1. K

    Lissu amlima barua Shibuda

    "'""Shibuda asema atawaeleza wananchi kuhusu maovu ya Mbowe na Zitto na ubinafsi CHADEMA 03/07/2011 Mbunge wa Maswa Magharibi, John Shibuda, amesema hatishiki na vitisho vinavyofanywa na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na yuko tayari kufukuzwa katika chama...
  2. K

  3. K

    Lissu amlima barua Shibuda

    yaan nasikia hadi kichefchef kumsikia mtu tena kijana mwenye akili timam anasema cdm ni ndoto kushika nchi ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,hivi kijana amerogwa au?lakin kweli c unajua wanamajimarefu?
  4. K

    Lissu Vs. Chikawe: Prosecute or Not to Prosecute Chenge in BAE Scandal

    "Chenge hawezi kushtakiwa na serikali ya CCM" kwa nn
  5. K

    Lissu Vs. Chikawe: Prosecute or Not to Prosecute Chenge in BAE Scandal

    Kwa kweli wanajamvi mimi nasikitika sana serikali inapojifanya kama haijui chochote
  6. K

    Lissu Vs. Chikawe: Prosecute or Not to Prosecute Chenge in BAE Scandal

    Mh.Tundu Lisu ameitaka serikali kumshaki Adrew chenge kwa wizi wa mabilion ya pesa za walipakodi lakini msemaji wa serikali anamjibu eti awapeleke wahusika mahakaman kama anaushahidi je wanajamvi inamaana hiyo report ya mtafiti kutoka Uingereza haikuifikia serikali
  7. K

    Hongera Chadema Bungeni, hongera Kitila Mkumbo...

    sawa sawa same to me naipigilia msumar
  8. K

    Muswada wa Sheria ya Mapitio ya Katiba: Download na pitia uone kilichomo na usambaze

    yaan mm nashindwa hata nitoe vipi shukran zangu kwa mpango huu wa kutufungua macho
Back
Top Bottom