Recent content by Kama_dawa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Bajaji TVS King DSP Inauzwa Iringa

    Bajaji TVS King DSP inauzwa, iko katika hali nzuri na tayari kwa matumizi ya kila siku. Ni chaguo zuri kwa biashara ya usafirishaji abiria au kwa mtu anayehitaji bajaji ya kazi. Taarifa muhimu: 🚖 Model: TVS King 🟢 Rangi: Green 🪪 Namba: MC DSP 🔧 Engine ipo na inafanya kazi 💪 Chassis/body imara...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    NMB uhakika kweli nimeona
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Sawa kiongozi
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Sifaidiki na chochote nikikudanganya, kwangu mimi imeingia
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Tayari wazee NMB
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Bado kabisa
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    7 people are here very 🤐
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Tunawazoom kwa mbalii ukitoka tu na sisi tunapotea
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Kumbe tarehe za huu uzi zimefika 😀😀
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

  11. K

    Weekend inachelewa kuanza kwelikweli.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kubet nyie acheni tu dah!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Betpawa C14962B Atakubali tu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Simba waliovamia Iringa vijijini wamefika maeneo ya karibu na mjini?

    Taarifa hii ina ukweli wakuu, ndo mitaa yangu hii nilikuwa nakula upepo hapa nje ila baada ya kuupata huu ujumbe nimeona upepo hauna maana nimelock na mlango kama ndo usiku vile
Back
Top Bottom