Unataka kusikiliza Sera mwaka huu tena kupitia midahalo ... Kumbuka miaka zaidi ya hamsini umesikiliza bilabila na mwaka huu unataka Sera tena. Jitambue ndugu.
Ndugu chaguzi ngapi unasikiliza Sera za vyama zimekusaidia na kutekelezeka? Mwaka huu usidanganyike na Sera au porojo za kwenye majukwaa ya kampeni. Fanya maamuzi yako mapema.
Hiyo nyumba kubwa sana mkuu. Nyumba ya Tofali 2200 inatosha kabisa kwa pesa take an finishing. Pia inategemea anajenga location gani kwa hapa dar. Mafundi wanaangali pia location ya ujenzi.
Nyumba unamaliza kwa hiyo pesa nyingi sana kwa nyumba zetu za kawaida mwanyewe nipo katika zoezi ilo na 35m tu. Mambo yanaenda vizuri tu nasimamia mwenyewe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.