Recent content by kama wewe

  1. K

    Hivi huu mdahalo ulio Star TV ni kampeni au kuhamasisha amani?

    kama ipo STAR TV basi iyo ni kampeni viva Lowasa unawatoa wa jasho
  2. K

    Kuitwa Usaili wa Kuandika TBS

    una kazi ndo mana uendi
  3. K

    TBS Kwa nn shortlist ? Ninawasiwasi

    no nimetuma maombi ndugu kwani ww umetuma kujifurahisha au
  4. K

    TBS Kwa nn shortlist ? Ninawasiwasi

    mm nasubiria kuitwa
  5. K

    Jordan,udom na mwalimu nyerere

    wametoa majina au
  6. K

    Utafiti wa Synovate: Magufuli aongoza kwa 62%. Yabainika watanzania bado wana imani na CCM

    synovate kuna njaa pale awawezi fanya utafiti wa bure sasa nani kadhamini shoo
  7. K

    Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    kwa mtu mwenye akili timamu awezi beza umati wa watu wanao mpenda lowassa na ukawa kwa mtu mwenye kusoma majira na nyakati ana aja ya kuendelea kumchafua mtu anayependwa na watu ameanza kupendwa tangu yupo ccm na sasa yupo ukawa Tusome majira na nyakati
  8. K

    Multimedia Consultant: Tunatunga na kuandika vipindi vya TV na Radio

    Tunatunga na kuandika vipindi vya Television na radio Tayari tumekamilisha kazi za kutosha filamu,Tv program ,radio program na music kama una miliki kampuni la video production/multimedia production tunakukaribisha uweze jipatia kipindi chako cha television tunaitaji mtu au serious company...
  9. K

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    du mahakama ni jengo angesema katiba au sheria ya mafisadi sawa ila kujenga mahakama ya mafisadi mh hivi kwenye escrow alikemea au
  10. K

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    mm nimezima TV maana mara mwakilishi wa machinga,walemavu bado mwakilishi facebook
  11. K

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    duh kweli siasa ni sanaa maana sielewi mara mwakilishi wa bodaboda ,wamachinga duh
  12. K

    Diamond, ni nani kakwambia Sumaye na Lowassa ni kabila moja?

    hivi ukabira mbona wana utangaza sana msanii mkubwa kama wewe unatangaza ukabira wewe kweli ujitambui nenda kaombe uanachama Ukawa kama utaulizwa dini au kabira lako au tuletee ushaidi kama kuna mtu kafukuzwa UKAWA sababu ya ukabira ww umesha lamba POSHO yako waacheni wa Tz kufanya maamuzi yaho...
Back
Top Bottom