Hahaaa hata warangi na wajita wanaongea haraka.Uharaka katika lugha ulioimaster inategemea na lugha yako ya kwanza.Kama lugha yako ya awali iko slow pia itaathiri lugha ya pili.
Hii inaonesha kuwa hakuna mtu mwenye uhakika na kabila lake kiasili.Watu wanapata wapi ujasiri wa kutukana kabila lingine ikiwa huenda kabila hilo asili yake ni kwenu.Tena kabila linaloongezwa kwa kudharauliwa ni wazalamo. Kila kabila likichambuliwa utamaduni zao itakuwa hatari.
Watanzania tuna ushabiki sana na pia hatupendi mtu mwingine azungumze mabaya wa kile wanachoamini wao hakina dhambi (kitakatifu) hata kama anaona kwa macho yake.Maeneo ambayo mitume na manabii walipelekwa ujue watu wake walikuwa ni wagumu sana kuelewa masuala ya Mungu muumba kwa kipindi hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.