Recent content by Kalunya

  1. Kalunya

    JamiiForums Tanzania Unafiki na Uzandiki kwa baadhi ya Viongozi waliopewa dhamana ni tatizo

    Uongozi ni ajira na sio wito
  2. Kalunya

    JamiiForums Tanzania Part 3 sakata la Katibu: Kitendawili hakijatenguliwa bado. Je, Katibu katibua ama katibuliwa?

    Watu wa conspiracy huwa mtu asipokuwepo then nyuma yake baada ya safari tukio likafanyika huwa tunaweka coma mkato.
  3. Kalunya

    JamiiForums Tanzania Part 3 sakata la Katibu: Kitendawili hakijatenguliwa bado. Je, Katibu katibua ama katibuliwa?

    Huyo wa kujinyonga sio akaunti yake. Yake Ina malizia mkandamizaji
  4. Kalunya

    JamiiForums Tanzania Part 3 sakata la Katibu: Kitendawili hakijatenguliwa bado. Je, Katibu katibua ama katibuliwa?

    Mwendazake ndie ajuaye ukweli, kama ni siri ya chumba cha siri au ni kweli alitafuna anajua yeye.
  5. Kalunya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siyo kweli kwamba wanawake tunapenda sana pesa, hatupendi umasikini

    Mwanamke kutoa pesa yake ahudumie familia anaona si haki
  6. Kalunya

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Polisi waingia mkataba wa milioni 50 na kanisa kuiombea timu

    Huu ni ujinga wa SGR. Kwanza Ukristo na mpira wapi na wapi. Ukristo mpira ni haramu.
  7. Kalunya

    JamiiForums Tanzania Aliyetuloga Watanzania ni nani?

    Labda kipite kwanza hiki kizazi cha ngono
  8. Kalunya

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi tweets za mtoto wa Museveni ni viashiria vya wazi kuwa shirikisho la siasa ndani ya EAC ni ndoto

    Uganda ni mali ya museveni na familia yake mpaka kufa
  9. Kalunya

    JamiiForums Tanzania Sakata la kifo cha katibu wa Masanja na kile alichotuachia

    Ishu ya uwepo wa mgegedano ni kuziowanisha message tu za wahusika. Ukizitrap tu unapata jibu. Sms za uzinzi zinafahamika.
  10. Kalunya

    JamiiForums Tanzania Sakata la kifo cha katibu wa Masanja na kile alichotuachia

    Ishu yeyeto ya kifo then mmoja Katika cycle kuact kusafiri asiwepo either eneo la tukio wataalamu wa jicho la tatu tunaiita master planner conspiracy.
  11. Kalunya

    JamiiForums Tanzania Sakata la kifo cha katibu wa Masanja na kile alichotuachia

    Mke wa mtu unawekaje kambi kwani kwako. Ukizidi Sana mara tatu usipodakwa unapotea.
  12. Kalunya

    JamiiForums Tanzania Aliyetuloga Watanzania ni nani?

    Kubadili mfumo ni suala la Jamii na sio mtu binafsi
  13. Kalunya

    JamiiForums Tanzania Piariz Hizza adaiwa kunyongwa na mumewe mpaka kufariki dunia

    Wazazi muwe mnachunguza watoto wenu kama kuna migogoro mjaribu kuepusha madhara mapema
Back
Top Bottom