Recent content by Kalunguyeye jr

  1. K

    JamiiForums Tanzania Endapo video & audio zitatumika kwa Sugu, basi Mnyeti ajiadae

    Mkuu mahakama ni tawi la ccm kwa maana jaji mkuu na majaji wanachaguliwa na mwenyekiti wa ccm
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kimantiki Joseph Mbilinyi(Sugu) hajafanya kosa lolote, alichofanya ni siasa

    Mkuu mahakama zetu ukikubali kosa unahukumiwa cku inayofata hasa kama hakimu amepokea maelekezo kutoka mbinguni
  3. K

    JamiiForums Tanzania Shurti la kudhaminiwa na chama kugombea uchaguzi, ni shurti batili kwa mujibu wa Katiba, linatutia hasara, tulifute!.

    Ndugu yangu paskali naunga mkono hoja Ila wenye nchi hawataki kusikia swala la mgombea binafsi ndo maana wengine walienda mbali wakamnasa makofi mzee warioba kwa kosa la kupendekeza katiba ya wananchi naamini unakumbuka
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kimantiki Joseph Mbilinyi(Sugu) hajafanya kosa lolote, alichofanya ni siasa

    Alisema swala la tundu lissu kupigwa risasi na ukimya wa serikali ya mh magu. Akohoji inawezekana walimshuti, alinukuu maneno aliyotamka mh tundu lissu mwenyewe alipoituhumu serikali kutaka kumuua
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kimantiki Joseph Mbilinyi(Sugu) hajafanya kosa lolote, alichofanya ni siasa

    Amani iwe nanyi, ndugu zangu wanajamvi naomba nifafanue kuhusu kesi inayomkabili Sugu na wabunge takribani wote wa CHADEMA. Alichokifanya Sugu ni siasa na katika nchi ya kidecrasia siku zote hoja za kisiasa hujibiwa kwa hoja za kisiasa na sio mahakamani. Ingekua katoa lugha ya matusi kamtukana...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kisheria, uwezekano wa Joseph Mbilinyi 'Sugu' kutokuhukumiwa ni mdogo sana

    Hujui maana siasa
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rai yangu: Mafisadi wa EPA, Tegeta Escrow, IPTL, Lugumi na wengine wakamatwe

    Amani iwe nanyi, natoa rai kwa serikali sikivu ya ccm chini ya mh magu kuwakamata mafisadi hawa na kuwapeleka mahakama ya mafisadi ili haki itendeke. Inashangaza wezi wanajulikana kwanini hawakamatwi na badala yake wanakamatwa kina lema na sugu? Kutoa lugha isiofaa na kuhujumu uchumi lipi kosa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Adhabu kali itolewe kwa Joseph Mbilinyi ili iwe fundisho kwa wanaodhalilisha kiti cha Rais

    Masenu K Msuya, Umesahau ccm ndo wametuletea umasikini na hizo kero unazosema mtukufu anapambana nazo, hata mungu hukosolewa sembuse binadamu?
  9. K

    JamiiForums Tanzania MTEI: Nililipwa Mshahara sawa na Nyerere

    Tatizo unafikiri kwa kutumia makalio badala ya kichwa
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Sugu yaahirishwa hadi Februari 8, baada ya mawakili watatu wa utetezi kujitoa

    Siasa zimeshaingizwa tangu awali
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chadema na UKAWA mkoani Mbeya kuandamana kupinga muhimili wa mahakama kuingiliwa

    Amekata kujitoa licha ya washitakiwa kumkataa kwa vyovyote hapa kuna maelekezo kutoka mbinguni
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chadema na UKAWA mkoani Mbeya kuandamana kupinga muhimili wa mahakama kuingiliwa

    Kwa hiyo tulia ndo anapigiwa kugombea uchaguzi wa marudio
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chadema na UKAWA mkoani Mbeya kuandamana kupinga muhimili wa mahakama kuingiliwa

    Inawezeka ndo uwekezaji huo, maana tunashuhudia mahakama ikibakwa mchana. Maana cku hizi hata kesi za mauaji zina dhamana
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chadema na UKAWA mkoani Mbeya kuandamana kupinga muhimili wa mahakama kuingiliwa

    Wanambeya wamepata jazba rais wao kudhalilishwa
Back
Top Bottom