Rai yangu: Mafisadi wa EPA, Tegeta Escrow, IPTL, Lugumi na wengine wakamatwe

Jan 16, 2018
54
35
Amani iwe nanyi, natoa rai kwa serikali sikivu ya ccm chini ya mh magu kuwakamata mafisadi hawa na kuwapeleka mahakama ya mafisadi ili haki itendeke.

Inashangaza wezi wanajulikana kwanini hawakamatwi na badala yake wanakamatwa kina lema na sugu? Kutoa lugha isiofaa na kuhujumu uchumi lipi kosa zito? Watu wamehujumu na kulifisidi taifa lakini hawachukuliwi hatua kwa sababu ni wana ccm? Natoa rai ccm irudi kwenye misingi yake, maana mwizi ni mwizi kwann mnatufanya mazuzu?
 
Back
Top Bottom