Gharama ya kutengeneza kitambulisho kimoja nadhani haiwezi kuzidi Tshs. 1,000/-. Machinga anauziwa kwa Tshs. 20,000/-. Jaalia tuwe na wamachinga milioni tatu nchini kote; maana yake hapa ni kuwa Serikali itakusanya Tshs. 19,000/- x 3,000,000 = 57,000,000,000/-. Bilioni 57 kwa mwaka sio fedha...