Recent content by Kalumbesa

  1. Kalumbesa

    Eti Mbowe alitoa laki 6 kufadhili ugaidi. Seriously?

    Kuna mambo yatapelekea Walimwengu kuichukulia Tanzania kama Taifa la majuha. Tunajishushia hadhi wenyewe kwa matendo yetu!!
  2. Kalumbesa

    Sasa ni dhahiri kesi ya Mbowe imekaa vibaya. Mashahidi 24 na vielelezo 19 vya serikali si mchezo. Ni mkao wa kunyolewa

    Yaani at a certain point watajikuta maswali ya mawakili yamesababisha wako out of phase by 180°
  3. Kalumbesa

    Propaganda za Chanjo ya COVID-19: Askofu Gwajima apuuzwe

    Kwa hiyo immunity aliyotupa Mungu inatosha kabisa kupambana na corona ila maradhi mengine haitoshi tuendelee kupata chanjo na kumeza dawa kujikinga na kujiponya? Je hawa wanaokufa kwa corona vipi? Mungu hakuwapa immunity?
  4. Kalumbesa

    Mabalozi wa kigeni wanaohudhuria kesi ya Mbowe waonywa

    Vipi kwenda kwenye shopping malls kujipatia mahitaji yake ni kazi ya balozi? Kwani ukienda kusikiliza kesi uko kazini? Ni hakimu na wahudumu wa mahakama ndio wako kazini..mahakama iko wazi kwa watu wengine kuhudhuria kuna kujifunza kupitia kesi mbalimbali zinazoendeshwa.
  5. Kalumbesa

    Baada ya Kukubali Chanjo, na Rais Samia Kuchanja, Kiongozi yeyote anayepinga Chanjo hadharani ni 'Insubordination' na usaliti

    Ni heri angeishia tu kwenye msimamo wake wa kuikataa chanjo. Lakini kusema viongozi wa serikali wamehongwa ili kuingiza chanjo, wamechanjwa kwa kufake, waliochanjwa watakufa in 2 years, yanaashiria serikali imeazimia kuangamiza raia wake.. Sidhani kama serikali inapaswa kunyamazia haya.
  6. Kalumbesa

    Kodi ya majengo kuanza kukatwa kwenye Luku kuanzia Agosti 20, 2021. Je, Serikali imekosa Dira, mbinu zimewaishia?

    Kwa hiyo umeitumia nafsi yako na kuwakilisha wanaume wote ? Kwamba kila mwanaume wa nchi hii 12000 si kitu.
  7. Kalumbesa

    Wakili Peter Kibatala amuumbua IGP Simon Sirro katika Sakata la kesi ya Freeman Mbowe

    Maelezo ya Sirro ukiyatafsiri tu unajua hakuna kesi. Kulikuwa na sababu gani Sirro kwenda ahead na kutaka kuiaminisha jamii ya watanzania kuwa Mbowe is guilty? Si ndio kazi ya mahakama hii, kusikiliza pande mbili za kesi mshtaki na mshtakiwa na kuamua haki iko wapi? Hivi ni kweli Sirro hajui...
  8. Kalumbesa

    Tundu Lissu: Seth na Rugemalila wapo jela kwa kuonewa

    Kwani Seth na Ruge wamehukumiwa kukaa jela miaka mingapi?
  9. Kalumbesa

    Askofu Gwajima: Ninyi mnaobadilika badilika mmebarikiwa kwa aina yenu. Mimi sina uwezo huo

    Sasa huu msimamo wako ni kwenye chanjo ya corona tu au zozote zinazotoka huko? Je madawa yanayoingizwa kutoka huko tuendelee kuyatumia?
  10. Kalumbesa

    Askofu Gwajima: Ninyi mnaobadilika badilika mmebarikiwa kwa aina yenu. Mimi sina uwezo huo

    Eti ndio huyo huyo asiyebadilika badilika. Wanasiasa bana!!
  11. Kalumbesa

    Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

    Kapatikana kituo cha polisi..sawa tunangoja taarifa..
  12. Kalumbesa

    Tundu Lissu: Maswali yangu kwa Jaji Mtungi, wa vyama vya siasa

    Kwa hiyo Tarehe 1 Serikali inaanza vita na wananchi wake,maana naamini iko dhahiri kwao kuwa watanzania wengi hawafurahishwi na mwenendo wa Serikali hii ya awamu ya tano.na ni dhahiri hata ndani ya chama tawala ni wengi tu wanasemea tumboni hili baya hili hapana hawawezi kuyatoa mdomoni kwa...
  13. Kalumbesa

    Neno la Kuudhi: Hakuna Haki ya Kikatiba ya Kuonwa "Live"

    Kaka umebadilika sana..si yule aliyekuwa anajenga hoja mathubuti...Mwanakijiji ninayemfahamu mie asingeishia kwenye hiyo sentesi tu..angeendelea kueleza pamoja na hilo kwanini kwa miaka yote wananchi walikuwa wanaona hilo bunge live na ni kwa vipi kuna umuhimu wa wananchi kuendelea kuona bunge...
Back
Top Bottom