Recent content by kalou

  1. kalou

    GE2025 Samia Suluhu Hassan kuapishwa kesho, Novemba 3, 2025 saa 4 asubuhi

    Hawezi kuachia ngazi, ana kazi na shetani bado hajaimaliza..
  2. kalou

    Makundi ya mamluki wenye silaha yanaua watanganyika mitaani

    we care, I care, ni ndugu zetu ...
  3. kalou

    Niliwaambia kuhusu JWTZ na huyo mkuu wao….

    Hatuna jeshi kwa kweli, rudia ku check ile clip ya Captain Tesha it seems alijua yajao... ila now nahisi hana maisha tena kule watamuulia mbali
  4. kalou

    Vijana wanakusanywa mitaani na kupigwa risasi

    how do u do that? tupe mbinu maana jamaa wana shoot from their unmarked cars, wanatembea usiku tu, kuna kisasi anacho huyu mama against Watanganyika..
  5. kalou

    Makundi ya mamluki wenye silaha yanaua watanganyika mitaani

    hawakupi muda huo, wanakuja kwa kustukiza, wana shoot na kuondoka, nasikia mama ameagiza kikosi kingine from UG baada ya kuapishwa, sijui tutaishije hii nchi
  6. kalou

    Makundi ya mamluki wenye silaha yanaua watanganyika mitaani

    mapanga against bunduki kwenye mikoni ya proffesional killers ?
  7. kalou

    GE2025 Atawatawala kwa Risasi na Mamluki?

    Jana jioni kuna mama kauliwa na vijana kigamboni kwa kuwa alikuwa amevaa manguo ya ccm... Mama President hii njia aliyoamua kupita mbele haitoki , it will eventually lead to her demise
  8. kalou

    GE2025 Atawatawala kwa Risasi na Mamluki?

    she is doing the opposite, from credible source kikosi ya mamluki kitaendelea kuwepo , kitafanya kazi zake usiku tu, usiku kuu kiko active ilala vijana wanauliwa , jana ilikuwa mbeya usiku , don't underestimate roho iliyomuingia huyu Mama .. There is no healing , atatawala kwa mkono wa chuma...
  9. kalou

    Vijana wanakusanywa mitaani na kupigwa risasi

    Yes ,hii ni kweli kuna mtu from mbeya ameniambia leo.. wafanyakazi vijana wa kiume wa shule yake walibini kumbilia vilimani jana usiku, kuna kikosi cha kinatembea usiku
  10. kalou

    GE2025 Atawatawala kwa Risasi na Mamluki?

    Ukisikiliza speech yake ndo utachoka kabisa, naona hawa mamluki watakuwepo sana hapa nchini .. nothing will change positively ..
  11. kalou

    GE2025 Kombo - Tutatangaza matokeo ya uchaguzi jumamosi November 1, 2025

    wakitangaza matokeo leo nahisi ndio utakuwa mwanzo wa mauaji ya kimbari ambayo sioni mwisho wake ukifika Samia akiwa Raisi
  12. kalou

    Hii ndiyo sababu ya ukimya wa CDF MKUNDA

    Kwa mambo yalivyo ground, watu hawarudi nyuma, polisi hawatoshi na wanajeshi wako dilema, Hakuna namna ya kumuapisha kwa sasa inchi itaingia kwenye machafuko makuu , wakubali yaishe , wapewe safe path huko wanapottana kwenda mambo mengine yaendelee . Binafsi sioni Samia akiapishwa kuwa Raisi
  13. kalou

    UN Secretary General Statement on Tanzania situation

    On his official X page ,UN secretary General ( António Guterres ) wrote "Deeply concerned by the situation in Tanzania, including reports of deaths & injuries during demonstrations. I call on all to exercise restraint, reject violence & engage in inclusive & constructive dialogue to prevent...
  14. kalou

    GE2025 Wito: Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ifute Uchafuzi Mkuu, Isiharakishe Kumuapisha Samia

    wana mpango wa kwenda kuapishana Zanzibar within 48hrs ,
Back
Top Bottom