Kufunga maana yake pia hamjui. Hivi ukifunga mlango wa nyumba yako kuna mtu ataingia ndani ya nyumba yako. Watu tunafanya kwa mazoea lakini hatutendi sawa na funga inavyotakiwa kuwa. YESU alifunga siku arobaini usiku na mchana bila kuingiza chakula chochote tumboni. HUKO NDIO KUFUNGA, LA SIVYO...
Kwa maoni yangu, sidhani kama kuna haja ya kuwa na wabunge bali makatibu wa wizara wanatosha maana ndio wanaandaa bajeti za wizara zao na kupitishwa na wabunge bila kupingwa!
Vitu vya kishetani ndio huvuta watu wengi hivi, vingekuwa vya ki-Mungu kwa sababu vinaongozwa na Mungu mwenyewe kupitia Roho Mtakatifu usingekuta watu wengi kwenda huko. Mawazo yangu tu
Nashauri Tundu Lissu msahauri Rais wetu jinsi ya kujikwamua na janga la kushitakiwa mahakama ya kimataifa kuliko kuwaonyesha njia wapiraji wa rasilimali zetu. Unachofanya sio kitendo cha kizalendo hata kama unajua atashitakiwa lakini msaidie Rais wetu ashinde hiyo kesi. Huo ni mtazamo wangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.