Recent content by Kalolelo

  1. K

    Yanga mwajirini kocha wa viungo aliyetimuliwa na Simba

    hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa umetisha boss kwa hiyo buggati unaweza kumumonitor
  2. K

    Yanga mwajirini kocha wa viungo aliyetimuliwa na Simba

    mbona tumepkea manara na senzo mzee baba
  3. K

    Walibya wadai Biashara Utd walihongwa ili wasisafiri

    hahaaaahahaaaaaaaaa
  4. K

    Yanga mwajirini kocha wa viungo aliyetimuliwa na Simba

    Kwa kuwa mpira ni kazi mtu anaweza kufanya kazi mahala popote pale kama ambavyo tumejionea hivi karibuni kwa Senzo na Haji Manara. Huyu jamaa ni msaada mkubwa atawasidia Yanga hadi watashangaa kwanza anaijua kazi yake na nanaipenda pia ni mtoa hamasa kubwa nilikuwa namuona kwenye benchi la...
  5. K

    TFF yakiri kuwa Waamuzi wanadai pesa zao. Yasema wadhamini wanatoa pesa ndogo za malipo

    Sasa wanawalaumu wa nini kumbe wanajua kinachoendelea
  6. K

    Refarees wa TPL wanatolewa kafala

    Hyo cjaipta mkuu ndo maana nikasema tatizo si refaree kuna mahali tunakwama halafu tunauaminisha umma kuwa ni refaree hawa kuna maagizo wamepewa sasa maji yamefika shingoni wanaona taizo ni refaree si kweli kabisa.
  7. K

    TFF chukueni hatua juu ya malalamiko ya vyumba vya kupumzikia wachezaji

    Kuna malalmiko mengi yanatolewa na timu kuhusu vyumba kupuliziwa dawa. wachezaji wasipoingia TFF mnakuja na adhabu pasipo kuchunguza kimsingi hii si haki na si sehemu ya kutatua tatizo msingoje hadi watu wapate madhara ndo muanze kuchukua hatua. fanyeni uchunguzi na mjiridhishe ndo mchukue hatua
  8. K

    Refarees wa TPL wanatolewa kafala

    Ukiangalia vizuri tatizo hili ni kwa karbu kwa refarees wote wa TPL kutoa maamuzi yaliyo tata utadhani hawajui sheria; hivyo TFF kuna kitu wanatuficha wadau wa soka aidha kuna maagizo hivyo inawalazimu refarees kutokujiamini. Baada ya matukio haya kila kukicha yanazidi kuwa makubwa sasa...
  9. K

    Haji Manara jitathimini kuwaita wenzako takataka

    Ni ajabu sana huyu jamaa anakuwa kama shabiki maandazi ww ni msemaji semea timu yako kitendo cha kumuita Morrison takataka ni kitendo kichafu sasa cjui ww wakikuita........ Utajisikiaje
  10. K

    Benard Morrison Acha Kabisa...

    Nyota njema huonekana asubuhi Jamaa anaijua kazi yake hana Papara kama wenzake akina Molinga anajua kujipostion,kumiliki mpira na kutafuta njia pasipo nja njia safi sana morisson umeanza vyema
  11. K

    Molinga Ndama jitathimini

    Kitendo cha Molinga kutolewa na kwenye mechi dhidi ya biashara kilimuudhi akaamua kuondoka uwanjani si mara ya kwanza kuna mechi moja ya Ligi alitolewa tena timu ikiwa chini ya Zahera alionesha kutoridhika na maamuzi Hivi Ndama kwa kiwango kipi anachokionesha hadi asifanyiwe sub Kagere the...
  12. K

    OThumani Kadhi achana na uchambuzi wa majukwaani

    Nimeshangaa sana anadai penati ya simba ilikuwa halali hata mtoto wa darasa la Kwanza asingesema kuwa ile ni penart kama una unazi achana na unazi binafsi nakiheshimu sikuheshimu tena kwenye uchambuzi lakini jitathimini kama ulikuwa unaficha uovu/makosa ya huyo mama Jenesia acha kabisa picha...
  13. K

    Athumani Kazi, jitathmini katika uchambuzi wako wa soka

    Nimeshangaa sana anadai penati ya Simba ilikuwa halali hata mtoto wa darasa la Kwanza asingesema kuwa ile ni penati. Kama una unazi achana na unazi binafsi, nakukuheshimu sikuheshimu tena kwenye uchambuzi lakini jitathimini kama ulikuwa unaficha uovu/ makosa ya huyo mama Jenesia, acha kabisa...
  14. K

    Kocha Aussem umeonyesha ukomavu wa ukocha wako

    Licha ya kufukuzwa kazi Aussem hajalalama na kuzunguka kwenye vyombo vya habari ingawa inadhihirika kuwa hakuwaleta wabrazil na makosa si yake maana hawakuwa na mchango kwenye Championi League hapo ndo unatambua kuwa Zahera si kocha Mungu akutangulie huko uendako
  15. K

    Zahera endelea kuzunguka kwenye vyombo vya habari

    Ww Zunguka tu sisi tunasonga mbele hatupaki basi Mkwasa kaza vijana hawatakuangusha
Back
Top Bottom