Itangazwe ofa,kwa wale wanaobebeshwa wawataje matajiri wanaowatuma,mbona wanaotumwa tunawafahamu wekeni $ mezani mtu akitaja tajiri mkubwa anapewa $ 10,000 na serikali na vithibitisho tutavitoa 100% swala litakuwa limefikia mwisho wabaki kuwakamata tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.