Recent content by KALIMIMBILI

  1. K

    Taarifa kwa Umma: Rais Samia Suluhu Awasil Jijini Dar Es Salaam Akitokea Dodoma

    Wasilaumu walifikiri wanaikomoa CHADEMA.
  2. K

    CHADEMA na baadhi ya wezi wa rasilimali zetu wanampa sifa nyingi Rais Samia ili kuhalalisha uongo waliokuwa wakizusha dhidi ya Hayati Dkt. Magufuli

    Kwa wasiokuwa na akili kama wewe wamefunguliwa akili na Magufuli lakini wenye akili tunajua yote hayo ni kwa sababu marais waliomtangulia waliwaachia watu uhuru wa kusema,ndipo pakaibuka watu kama akina Lipumba,Mrema,Mbatia,Tundu Lissu,Zitto Kabwe,Mbowe nk.
  3. K

    CHADEMA na baadhi ya wezi wa rasilimali zetu wanampa sifa nyingi Rais Samia ili kuhalalisha uongo waliokuwa wakizusha dhidi ya Hayati Dkt. Magufuli

    Hivi mafisadi kipindi cha Magufuri walikuwa Chadema eti??? Tangu 1961 chadema ilikuwepo zwzwa wewe??? Hao mafisadi hatukuwaona kipindi cha Magufuri labda chadema na wengine wako nje ya nchi kama vile Tundu Lisu na Lema. Katika wizi wote wa taifa hili kuna mahali popote wametajwa hao???Mbona John...
  4. K

    CHADEMA na baadhi ya wezi wa rasilimali zetu wanampa sifa nyingi Rais Samia ili kuhalalisha uongo waliokuwa wakizusha dhidi ya Hayati Dkt. Magufuli

    Mwasisi wa uongozi Tanzania ni Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na si vinginevyo labda kama ulikimbia shule utaona magu ni mwasisi hii nchi kaachiwa kwa roho safi yeye kaitumia vibaya na kufia madarakani bila ya ridhaa yake hapo ameasisi nini?
  5. K

    Taarifa kwa Umma: Rais Samia Suluhu Awasil Jijini Dar Es Salaam Akitokea Dodoma

    Ubaguzi wa Magufuli bado mnauenzi kwani Zanzibar siyo Tanzania?
  6. K

    Dkt. Mwigulu alipewaje uwaziri wa fedha? Mtu ana skendo mbaya na rekodi mbaya

    Lengo la ni kufilisi nchi Mwigulu ni mwizi.
  7. K

    Hayati Magufuli anapaswa kupewa Heshima ya Baba wa Pili wa Taifa la Tanzania

    Umeme kila siku ulikuwa unakatika si chini ya mara tano kwa siku hivi ninyi watu ni vipofu eti,umeme unasumbua kila siku wewe unakuja na hoja mfu kuwa umeme hausumbui,kumbe kuwa ccm ni upumbavu nimeamini.
  8. K

    Rais Samia Suluhu naona katua Dar leo. Tetesi zinasema atafanya ziara kwenye taasisi kubwa mbili hivi karibuni

    Mama mama mama nakuombea kwa Mungu tenda haki katika kazi zako zote na Mungu atausimamisha imara utawala wako.
  9. K

    Kuondolewa Profesa Kabudi mambo ya nje ni kujenga upya Diplomasia

    Profesa kutoka majalalani alitaka wote tuwe jalala.
  10. K

    Je, agizo la Rais Samia Suluhu kufuta kesi zisizo za msingi limepuuzwa?

    Wewe ni nani uwapangie majukumu huoni ni kipindi cha kwaresma?
  11. K

    CHADEMA inajimaliza rasmi kisiasa

    Michakato ya kisiasa siyo uchaguzi kugombania udiwani,ubunge au urais bali ni pamoja na kuwa na taasisi huru isiyoingiliwa na upande wowote mfano.Chama tawala,msajili wa vyama vya siasa,vyombo vya ulinzi na usalama,wakuregenzi,bunge,serikali,nk.
Back
Top Bottom