Wengi hupenda kuajiri watu wenye uzoefu ili kazi zao ziende kwa umakini zaidi. Lakini kauna aina za kazi ambazo hutangazwa na kuhitaji experience hata ya 7 years,mfano mambo ya Sheria, udaktari, mipango nk dont try it. Bali kua aina za kazi ambazo zinahitaji hata 2yrs exp,hapa paleka CV kwani...