Recent content by Kalebejo

  1. Kalebejo

    Mwanza: Michango shule ya msingi Kilimahewa tishio

    Kwanza Kabisa nampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa jitihada zake za kuboresha mazingira ya shule za msingi nchini lakini ninachotaka kusema ni kuwa waziri wako wa elimu ameshindwa kabisa kufikia matamanio yako ya kuona watoto wa watanzania wanyonge wanapata elimu bora kama watoto wao...
  2. Kalebejo

    Waziri wa Ardhi alikuwa hajui uwepo wa hati feki?

    HII SASA ITAKUWA SIYO JAMBO LA UTANI
  3. Kalebejo

    Waziri wa Ardhi alikuwa hajui uwepo wa hati feki?

    Hivi karibu Waziri wa Ardhi Mhe.Angelina Mabula akiwa ziara arusha aligudua uwepo wa hati feki na kauli ya serikali aliitoa hapo tunapaswa kumpongeza sana lakini kwa jicho la kiuandishi wa habari mimi nahelea sana kwa kauli Nimeongea na Kada wa CCM Mkoa wa Mwanza na Mwenyekiti wa Serikali ya...
  4. Kalebejo

    DOKEZO TAKUKURU Mwanza tupieni macho mgogoro wa ardhi wa Abubakar Self

    kilio cha kada wa ccm abubakar hassan self kupolwa ardhi na halmashauri ya jiji la mwanza
  5. Kalebejo

    DOKEZO TAKUKURU Mwanza tupieni macho mgogoro wa ardhi wa Abubakar Self

    VIONGOZI WA KITENGO CHA ARDHI JIJI LA MWANZA LINATUUMIZA WANACHI WALALA HOI Kada wa CCM Abubakar Hassan Self amemuomba Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan Kuingilia kati mgogogro wake viwanja na Halmashauri ya Jiji la Mwanza uliodumu kwa miaka 35 kama mgogoro wa Eneo la Rwagasore lilivyotatuliwa...
  6. Kalebejo

    Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu Kivuko cha Kamanga

    sisi wanasengerema serikali inat
  7. Kalebejo

    Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu Kivuko cha Kamanga

    NAWAPA POLE SANA NDUGU ZANGU WA BUKOBA KWA JALI YA NDEGE KWELI TUMEUMIA SANA ILA NAOMBA SASA IWE FUNZO LA NCHI KUANGALIA JALI KAMA HIZI ZISIPOTEZE MAISHA YA WATU NA SASA NAWAPATIA UFUKUNYUNGU WA SIRI SERIKALI ANGALIENI KIVUKO CHA KAMANGA FERRY IPO SIKU TUTALIA TENA NA KUSAGA MENO ASALAMAA...
  8. Kalebejo

    Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu Kivuko cha Kamanga

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Natumaini u buheri wa afya.Kwanza nakupongeza sana Rais wangu Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa jitihada unazozifanya katika kuwaletea wananchi maendeleo,kwa kutafuta pesa nje na ndani ya nchi yetu Hongera sanaa kwa hatua hii nchi yetu inaendelea kupiga hatua za...
  9. Kalebejo

    Wizara ya ujenzi na uchukuzi, RC Mwanza na mamlaka ya bandari TPA wadai kutiwa mfukoni

    Ukifika Kamanga Ferry utaona Sheria za TASAC,TPA zinavyokanywagwa lakini ngoja iseme neno moja likitokea la kutokea hapo kamanga ferry msiseme tuwaombee kazi ya Mungu haina makosa ama shetani kwa maana tatizo linajulikana pia leo sisi tunaotafuta kazi katika ujenzi wa SGR umekwama kipande cha...
Back
Top Bottom