Recent content by Kalbandika

  1. K

    Sio kila chuo kitoe kila kozi

    Kumekuwa na changamoto kubwa sana ya ajira kwa sasa. Wanafunzi wanaohitimu vyuo mbalimbali kwa mwaka ni wengi kuliko nafasi zilizopo katika sekta ya umma na sekta binafsi. Ushauri wangu kwa Serikali ni kama ifuatavyo :- 1. Ili kuepuka lawama ambazo zinaweza kuepukika ni vyema vyuo vikapewa...
  2. K

    Kama sio Rais Magufuli, mnamtaka nani?

    Kwa sasa hakuna mbadala ndio mana hakuna jibu
  3. K

    Kama sio Rais Magufuli, mnamtaka nani?

    Nakumbuka kamsemo kazamani kidogo pale mtu unapopata kitu kizuri halafu bado unalalamika. Utasikia mtu anakuambia 'Mungu akupe nini, au gunia la chawa? Hii ni kauli ambayo inatolewa kwa watu ambao hawana shukrani, hawana jema. Kila kitu kwao kibaya. Ukiwa mkali utasikia dah, fulani mkali sana...
  4. K

    Kupenda vitu rahisi na sio halisi kunatumaliza vijana

    Kuwa mtu wa vitu halisi hakuji kwa kusoma magazeti ya udaku na kushinda kwenye blog/group za udaku kutwa nzima. Kuwa mtu wa vitu halisi kuna jengwa kwa kusoma vitabu, articles na journals mbalimbali. Kusoma tafiti mbalimbali zilizofanywa na wataalam wa sekta mbalimbali. Aina ya watu unaoishi...
  5. K

    Rais Dr. Magufuli kwa hili la inward looking strategy na import substitution nakupa 100%

    Habari ya leo ndugu zangu, Nachukua nafasi hii kumpongeza kwa dhati kabisa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr John Magufuli kwa jinsi anavyolihudumia Taifa hili kwa weledi wa hali ya juu. Inward looking strategy kwa kifupi ni mkakati unaotumiwa na nchi kwa kuhakikisha unatumia...
  6. K

    Ushauri kwa Rais: Tanzania tunahitaji kukuza uchumi kwanza kabla ya kuwaza demokrasia

    Habari ya leo ndugu zangu, namshukuru Mungu naendelea kupumua pumzi hii adimu. Hofu kwenu mlio mbali na upeo wa macho yangu. Leo nataka kuongea na Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli:- 1. Kukupongeza kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu...
  7. K

    Wanaoshabikia mauaji ya Polisi kukamatwa hata kama wako nje ya nchi

    Habari ya leo ndugu zangu, Nilikuwa naangalia taarifa ya habari ya saa 2 usiku wa leo tarehe 28/08/2016 kupitia ITV. Nimemuona Mhe Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi kwa masikitiko makubwa akieleza kuwa kuwa baadhi ya watanzania ambao wamepongeza watu wanaodaiwa kuwa...
  8. K

    Ushuru wa shilingi 300 kwa kila kichwa ni kero Ubungo

    Hakuna anayekataa kulipa kodi ndugu yangu, pengine hujaelewa nini kinazungumziwa. Soma mada vizuri kabla hujachangia.
  9. K

    Ushuru wa shilingi 300 kwa kila kichwa ni kero Ubungo

    Habari ya usiku huu ndugu zangu, Namshukuru Mungu naendelea vizuri na natumaini hata wewe unaendelea vyema. Napost uzi huu nikijua vyema kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, kijana mchapakazi, mwerevu, mbunifu na jasiri Paul Makonda pamoja na kijana mwenzie mwenye sifa zinazoshahabiana na hizo...
  10. K

    Zimebaki takribani siku 10 kuiilinda au kuibomoa Tanzania yetu

    Nimerudi bosi boss wangu. Kash!!
  11. K

    Tofauti ya posho wanayopokea madiwani wa Arusha mjini na maeneo mengine ya nchini

    Acha kupotosha watu, Taarifa yako haina ukweli wowote. Ni bora kama hujui kitu ukauliza, kuuliza si ujinga. Viwango vya malipo ya waheshimiwa Madiwani vipo kwa majibu wa Sheria. Posho ya Diwani inalingama na ya mkuu wa Idara. Na ya Mwenyekiti au Mayor inalingana na ya Mkurugenzi. Posho...
  12. K

    Zimebaki takribani siku 10 kuiilinda au kuibomoa Tanzania yetu

    Habari ya leo ndugu zangu, Zimebaki takribani siku 10 kuelekea Septemba 1. Siku ambayo kila mmoja anaisubiri kwa namna yake. Wapo wanaoisubiri ili wafanye kile walichodhamiria, na ambacho nafsi zao zinawaelekeza kuwa wapo sahihi. Wanadai wataandamana na watafanya mikutano ya hadhara kila...
  13. K

    Hongera Mheshimiwa Rais kwa kuwaamini vijana

    Habari ya asubuhi ndugu zangu, Namshukuru Mungu nimeamka salama nikiwa na afya njema, naamini na nyie mpo salama kwa kadiri ya kila mmoja alivyojaaliwa na Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema. Pamoja na changamoto mbalimbali tunazopitia kama nchi ila pale jambo jema linapofanywa ni vyema kwa...
Back
Top Bottom