Recent content by Kalaudi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mambo Kumi Marufuku kwa Wanaume!

    Umeua mkuu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wale mliooa je mnashughulikiaje hili tatizo

    Sababu zote za kuchepuka zinatoka kwao wenyewe unakuta mtu katoka ana ukame wa kufa mtu halafu unakuta jibu la ajabu .
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wale mliooa je mnashughulikiaje hili tatizo

    Kale mlo risiti niletee
  4. K

    JamiiForums Tanzania Moyo wa huruma unanipata kila nikitaka kumuacha. Naomba ushauri nitamuachaje?

    Wewe unatafuta mwanamke anaependa kukupiga mizinga . Shukuru mungu umepata mwanamke maskini anakupenda na wewe umegundua hilo. Hata mimi namuonea huruma huyo sister navuta picha kama namhisi vile anavyo jipendekeza kwako.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je,unachokipata kwenye ndoa ndicho ulichokitegemea?

    Noma mkuu namwachia mungu tu atamshughulikia anaetia mkono katika ndoa hii.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Je,unachokipata kwenye ndoa ndicho ulichokitegemea?

    Kabisa sikutegemea ni bora ningecheza Sarakasi kwenye TRANSFORMER ya umeme na kufutika kudunia kuliko nilivyokosea kuingia kwenye NDOA.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake kuweni makini na wanaume wa namna hii

    Ni KANUNI moja tu ni ku balance mapenzi pande zote mbili. Haina haja ya chuki za bila mpango kamwe kamwe manaume hawezi kukubali mama yake anyanyaswe na vitimbi vya kila aina . Naamini mapenzi yakiwa mazuri two sides ndoa itakua superb.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake kuweni makini na wanaume wa namna hii

    100/100 TRUE
  9. K

    JamiiForums Tanzania "Usitegemee Mama mzazi kumpenda mkeo, au mkeo kumpenda mama mzazi"

    mk Mkuu una bahatti ya kuzaliwa HONGERA
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mke anapenda kukasirika kila mara, nimfanye nini?

    Mkuu mke wangu alianza kubadilika kuona kama mimi sina uwezo wa kununua nyumba hapo ndio ilianza kasheshe za viburi na nadhani anapewa maneno na mama yake . kwani ni lazima kuwa na nyumba kama uwezo hamna ? Hata mimi natamani kua na nyumba lakini ndio hivyo. Alikua ananilazimisha kila mara...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mke anapenda kukasirika kila mara, nimfanye nini?

    Huwezi amini mzigo nampa wa ki sawa sawa mpaka CHALIIIIIII Sijui tu ana nini . Kileleni anafika bila shaka 100%
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mke anapenda kukasirika kila mara, nimfanye nini?

    HUYU MANZI TOKA BAADA YA MWAKA TU KATIKA NDOA NDIO YAKAANZA HAYA NADHANI WALIMUHARIBU WAZAZI WAKE KUMPA NASAHA MBOVU MBOVU
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mke anapenda kukasirika kila mara, nimfanye nini?

    Ni Mtoto wangu kabisa wa Damu
Back
Top Bottom