Forums
Trending
New Posts
Log in
Register
Style variation
System
Light
Dark
Trending
Search
Search
Search titles only
Note
By:
Latest activity
Register
Our Community
JamiiCheck
FichuaUovu
Stories of Change
Start Discussion
Coming Soon
JamiiCourses
JamiiData
JamiiShop
Premium Content
Regional Communities
Coming Soon
Tanzania
Uganda
Kenya
Rwanda
DRC
Zambia
Zimbabwe
Menu
Log in
Register
Navigation
More options
Style variation
System
Light
Dark
Contact us
Close Menu
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser
.
kalagwena
Recent content by kalagwena
Ushauri kuhusu ununuzi wa magari
.mkuu agiza toyota CROWN matoleo ya kuanzia 2005 - 2008. kwa bajeti yako chenji itabaki na hii gari itakupatia heshima.
kalagwena
Post #9
Jan 23, 2020
Forum:
JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)
Nataka kuagiza Toyota Crown. Nitenge bajeti kiasi gani?
KIMOMWEMOTORS Mkuu nataka kuagiza toyota crown royal saloon ya mwaka 2008, cc 2500 na mileage kama km 115000. Mpaka unanikabidhi nitenge Tshs ngapi?
kalagwena
Thread
Jan 2, 2020
toyota
Replies: 7
Forum:
JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)
Naomba msaada wa gari RAV4
kama kweli kahesabu hizo millioni na akavuta hiyo "RAV 4" ni kilaza wa kutupwa.
kalagwena
Post #13
Dec 12, 2019
Forum:
JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)
Naomba msaada wa gari RAV4
mleta uzi apewe onyo "wana JF hatujaribiwi"
kalagwena
Post #12
Dec 12, 2019
Forum:
JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)
Msaada eti gari hii inaweza kurudi kwenye hali yake ya kawaida?
ushauri mzuri sana aliokupa Boeing 747 nakuomba uuzingatie. mbeleni utamkumbuka !
kalagwena
Post #39
Dec 9, 2019
Forum:
JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)
Eti Yamaha YBR125 used yenye 40000km naweza kupata kwa shilingi ngapi Dar?
weka picha tuione.
kalagwena
Post #2
Dec 9, 2019
Forum:
JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)
Injini ya pikipiki
wala huitaji injini "used" kanunue mpya zipo nyingi madukani. hiyo used huwezi jua kwa nini mwenye aliiteremsha. itakusumbua mbeleni.
kalagwena
Post #2
Dec 9, 2019
Forum:
JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)
Nunua gari achana na maswali yasiyo na msingi
hiyo ni kweli kabisa. sitegemei kama maswali ya aina hiyo yataulizwa tena humu JF
kalagwena
Post #2
Nov 25, 2019
Forum:
JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)
MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?
spare za shineray nyingi mno madukani na bei ni nafuu sana.
kalagwena
Post #371
Nov 24, 2019
Forum:
JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)
MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?
shineray xl 150 (offroad) ndo jibu mkuu. mimi naishi kijijini ninayo na inamudu vizuri mazingira ya huku. bei yake ni m 2 . 3 mpya.
kalagwena
Post #366
Nov 23, 2019
Forum:
JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)
MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?
mkuu kama unaishi au unatembelea maeneo yenye miundombinu ambayo si rafiki chukua shineray xl 150 itakufaa.
kalagwena
Post #363
Nov 22, 2019
Forum:
JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)
Natafuta gari aina ya Toyota Crown Athlete series.
hongera mkuu. ukiikosa crown chukua brevis Ai 250 model 2005 - 2007 hutojutia.
kalagwena
Post #16
Nov 12, 2019
Forum:
Matangazo madogo
Wabunge wamchoka Mbunge Kiruswa kwa kugongea lifti
hii kali ! kuna ndugu zangu kule kaskazini ambao hula ugali na picha ya samaki, isijekuwa anatokea huko.
kalagwena
Post #91
Nov 5, 2019
Forum:
Jukwaa la Siasa
Kuagiza gari hadi kulipia kodi ya bandari
hongera mkuu. ili kufahamu kodi za serikali ambazo unatakiwa kuzilipa, ingia www.gateway.tra.go.tz
kalagwena
Post #2
Oct 31, 2019
Forum:
JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)
Naomba Ushauri: Kati ya BMW 3 Series 2006 model na Subaru Legacy B4 Sports 2006 model
Write your reply...kama mkwanja upo vuta bmw, ila kwa ushauri wangu na vigezo ulivyovitaja kamata subaru hutajutia.
kalagwena
Post #107
Oct 23, 2019
Forum:
JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)
kalagwena
Our Community
JamiiCheck
FichuaUovu
Stories of Change
Start Discussion
Coming Soon
JamiiCourses
JamiiData
JamiiShop
Premium Content
Regional Communities
Coming Soon
Tanzania
Uganda
Kenya
Rwanda
DRC
Zambia
Zimbabwe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
Accept
Learn more…
Back
Top
Bottom
Menu
Forums
New posts
Log in
Register