Recent content by KALADI

  1. K

    Hizi ni hoja zilizoibuka mara tu baada ya Kikwete kumaliza hotuba yake! Wewe una hoja gani?

    Ninachoweza kusema ni mh.Rais amepoteza ladha yote ya rasimu ya katiba mpya.
  2. K

    Hivi kweli ccm ni waasisi wa muungano?

    Nijuavyo mimi,wakati muungano unafanyika mwaka 1964 vyama vilivyokuwa vinatawala ni ASP kwa zanzibar na TANU kwa upande Tanganyika.CCM ilizaliwa 1977.Hivi kweli ccm ni waasisi wa muungano?.chanzo Nape nnauye itv
  3. K

    Wabunge kumzomea m/k wa tume na kusababisha kutowasilishwa kwa rasimu ni kuvunja kiapo

    Mimi siamini kama hao waliozomea ni wahuni,kwa sababu wengi wamechaguliwa na wananchi na wengine wamechaguliwa na mh Rais.Mimi nadhani waliozomea wana sababu! Wasikilizwe.
  4. K

    CHADEMA inaimarika na inasonga mbele

    Nakumbuka kuna mwanafalsafa mmoja alikuwa anatembea na karabai inayowaka gulioni,alipoulizwa mbona umewasha taa mchana?alijibu ni mchana lakini watu hawaoni!haya ndiyo ya watz
  5. K

    ACT - Tanzania yavunja ngome ya CHADEMA Mwanza, yazoa wanachama wote wenye uelewa

    Kama ningekuwa na uwezo ningewashauri wanachadema wote wasihangaike kabisa na ACT kwani siyo saizi yao kabisa! Wanataka kupata umaarufu kupitia cdm,achaneni nao kabisa! Sawa yenu ni ccm tu!wapuuzeni kabisa act.
  6. K

    Kwanini CHADEMA haikusimamisha mgombea uenyekiti bunge la katiba?

    Nani aliyekuambia chadema hawakumpigia kura sitta?
  7. K

    Harambee ya BAKWATA Arusha yadoda baada ya Lowassa kuzuiwa na CCM

    Kwani mama anna kilango si yupo?
  8. K

    ACT presha ya nini!

    Kwa kweli ni ajabu kwa chama cha upinzani kuanzishwa kwa ajili y a kupambana na chama kingine cha upinzani.
  9. K

    Samweli Sitta anafaa kuwa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba

    Mimi siamini kama samwel sitta ndio mtu pekee anayestahili kuwa m/kiti wa tume ya katiba.Wapo wengi ila hawapewi fursa,mfano Mahalu
  10. K

    Ushauri binafsi - Zitto Kabwe gombea Uspika wa Bunge Maalamu la Katiba

    Niseme tu ukweli,kitendo zitto alichowafanyia watanzania haswa wanamageuzi waliokuwa nyuma yake,hatakaa apate nafasi yoyote ya kuchaguliwa na jamii.Ni pamoja na laana ya mungu!
Back
Top Bottom