Recent content by KALABASH

  1. K

    Zanzibar Business and Property Registration Agency( BPRA) nahitaji majibu kutoka kwenu

    Leo nimejaribu kufungua account ya kimtandao ya Online Registration System (ORS) katika taasisi ya Business and Property Registration Agency(BPRA).Taasisi hii iko Zanzibar na inafanya shughuli zinazofanana na zile za BRELA. Katika utambulisho wa mfunguaji akaunti kwa maana ya...
  2. K

    Paul Makonda's resilience and character serve as an inspiring example for all of us

    Please do not generalize. Who is "WE"? You and your wife perhaps? He could be an inspiración to you but an anathema to a majority of people.
  3. K

    Rais Samia Atoa milioni 100 kwa ajili ya Ukarabati kanisa la Katoliki Manyara

    Katoa millioni 100 kutoka kwenye akaunti yake binafsi? Fafanua tafadhali.
  4. K

    Ushauri kwa Waziri Dotto Biteko: Kama Makamba Ametolewa, Basi na MD wa TANESCO na Bodi nayo itoke

    Usiseme inawezekana mkuu. Nakuambia kitu cha uhakika.
  5. K

    Ushauri kwa Waziri Dotto Biteko: Kama Makamba Ametolewa, Basi na MD wa TANESCO na Bodi nayo itoke

    Pengine hufaamu kuwa huyo mwenyekiti mzee (kama ulivyomwita wewe) na huyo mama uliyemtaja ni watu wa karibu sana wa mstaafu fulani!!!
  6. K

    Mbeya: Baada ya Polisi kumshikilia Msanii wa Nyimbo, Sifa Bujune Wenzake watoa wimbo wa Kulaani kitendo hicho

    Si huwa wanasema ni mlokole? Walokole nao huwa wanaiba kura?
  7. K

    Ligi ya mpira ikiisha Watanzania huwa wapo serious na siasa. Ligi ikianza kelele za Simba na Yanga zitatumika kuwaleta DP World rasmi

    Mkuu R.K.O. Wewe ndiyo umewachambua Watanzania sawa sawa. Na ulichokisema ndicho watawala wanachokijua na kukikitumia kuwatoa Watanzania katika kufikiria na kuchambua mambo ya maana na ya msingi yanayohusu maisha yao. Formula ni moja tu . Wape Simba na Yanga. Mwaga mamilioni kwa mojawapo ya...
  8. K

    Maandalizi ya Kesi ya Wazalendo dhidi ya Mkataba wa Bandari na DP WORLD yakamilika, Maelfu ya Wananchi wajipanga kuhudhuria

    Niwapongeze wana wa Mbeya. Mtatuletea ukombozi. Kwa mara ya kwanda kuna wananchi wameamka na kuweza kusema "HILI HATULIKUBALI" The dawning of a new era in Tanzania!!!!
  9. K

    RITA badilikeni ili mambo yafanyike kimtandao

    Hivi karibuni jirani yangu huku mkoani alipata msiba wa kufiwa na mke wake. Kifo kilitokea hospitali iliyoko Dar es Salaam. Kwa kuwa kifo kilitokea Dar shughuli zote inabidi zifanyikie katika za ofisi za RITA Wilaya kulikotokea kifo. Hii ndiyo sheria ya RITA. Alimtumia wakili...
  10. K

    Bima ya afya(NHIF) ahadi nyingi, utekelezaji sifuri

    Akiwa anajibu swali la mbunge katika kikao cha leo, kwa mara nyingine tena Waziri wa Afya amehimiza wananchi kujiunga na bima ya afya na hapo hapo akasema wako njiani kutangaza vifurushi (packages) vipya ili kumwezesha kila Mtanzania kuchagua kifurishi kinachoendana na uwezo wake. Hii si mara ya...
  11. K

    NHIF; Vifurushi- (package) viko wapi?

    Mlijitangaza sana kwa mbwembe kwamba kabla ya mwisho wa mwezi March 2019 mtakuwa mmeleta vifurushi vya aina mbali mbali ili kuwawezesha Watanzania wa viwango tofauti tofauti vya kifedha kujiunga. Tuko mwezi June sasa. Ahadi zenu zimeyeyuka?
  12. K

    Kabla ya Tanganyika, nchi yetu ilikuwa inaitwaje?

    Kabla ya Tanganyika kujiunga na Zanzibar na kuwa Tanzania waliozaliwa Tanganyika walikuwa wanatumia utambulisho upi?
Back
Top Bottom